Hivi nyie watu, nini kinawafanya Mpende Pizza? sitaki hata kusikia

Ndiyo hapo sasa usemi wa "what is bad for you is not necessary to be bad for everyone and vice versa"
 
MI pizza baga ,soseji vyote siliiiiii na Sijawah pata hamu, nilionja vyote vikanishindaa

Najua kabisa hayo sio mambo yako, nilivyosikia tu PEPSI ninakukumbuka nikataka ni ku PM tukapige PEPSI nikawaza ile offer uliyoitoa ya mwaliko wa Valentine nikajua tu tayari wajanja wameshawahi offer. Uliisifia sana PEPSI tena very specific ile yetu ya TZS 600/=.
 
Acquired taste. Upendo unakuja baada ya kujenga mazoea Kama bia. Chungu na mwanzo tunakunja uso, mwisho wa siku bila bia usingizi hauji.
 
Bila shaka nyie ni wafanyakazi wa PEPSI (SBC) na mnataka kutuaminisha na kutulazimisha kuaamini kwamba hakukuwa na uwezekano wa kucomment humu bila ya kuandika hilo jina la PEPSI
 
Bila shaka nyie ni wafanyakazi wa PEPSI (SBC) na mnataka kutuaminisha na kutulazimisha kuaamini kwamba hakukuwa na uwezekano wa kucomment humu bila ya kuandika hilo jina la PEPSI

Hapana mkuu, sifanyi kazi SBC, ila kuna uzi Dinazarde aliisifia pepsi ndio maana nimemtaja yeye kwenye post yangu, hata hivyo mwanzo wa uzi mleta mada nae kaitendea haki ameitaja mkuu. Samahani kama nimekukwaza kwa namna moja ama nyingine.
 
Maparage Ndio nn
 
Kwa wale tulio kwenda kusoma usa, Pizza Hut, papa John's, domino's pizza, na little ceaser ndio zilikuwa restaurant zetu.

I miss USA.
 


Ahhahahahaha Kama Vipi twenzetu tukapige peps
 
Kwa wale tulio kwenda kusoma usa, Pizza Hut, papa John's, domino's pizza, na little ceaser ndio zilikuwa restaurant zetu.

I miss USA.
Na wale wa st kayumba tupeni uzoefu wenu tafadhari hata kama ulikuwa wa kuiba mahindi na mbuzi za majirani na shule mlizosoma.
 
Aisee wimbo usioujua hauimbiki, mie hivyo vyakula navisikia kwenye nyimbo za wanamuziki havinitoi mate....
Niambie Dona na dagaa ama matembele aisee hapo utaita njaa
 
Pizza magharita kitu original kutoka Sicily Italy. Nyanya tu na cheese original sio zenu hizi artificial.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…