Hivi nyie watu, nini kinawafanya Mpende Pizza? sitaki hata kusikia

Umenikumbusha vijiwe vya pizza Dar, Mwanza na A town.! mie nagonga pizza aina yeyote,burgers na mazagazaga ya salads nayapiga kama mnyama mbuzi vilee.!
 
Binafsi sizifungii pizza safari ila kuna nchi fulani nilikwenda huko hawana ugali ma wali wao mboga za mashaka basi ndio nikawa nazila hizi pizza ili nisife njaa.
Nalog off
 
Mi napenda at ugari Wa mtama na kichuri vilee maziwa mtind dah
 
Unapenda burger af unamshangaa anaependa pizza..smh..ni vyakula jamii moja,. perhaps hukupata mpishi mzuri,try Saverio Mikocheni na Boogie Woogie Mbezi Beach...Pizza Hut sikushauri bei kuubwa af pizza mbaya
 
Junk food burger,pizza
U'junk wa pizza ama burger ni upi?
Ngano/mkate,nyama na mbogamboga ni junk?.,actually ni balanced diet yenye carbs,protein vitamins na fats
Junk ni vitu purely kutoka viwandani..
 
Kwani baga zina nn
 
Hivi huu UCHACHU ni sehemu ya LADHA yake ama ni mimi tu huwa NAKUMBANA na zilizo kaa kwa muda mrefu...!!?

Yaani hapa tu NDIO huwa naitoa THAMANI Pizza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…