Isenye
JF-Expert Member
- Dec 22, 2024
- 1,985
- 5,167
Siko hapa kumbeza yeyote, ila kuna kitu mimi binafsi kimenishinda kabisa katika maisha yangu.
Huwa naona na kusikia watu wanasifu kiporo cha wali maharage au wali kisamvu na chai ya maziwa eti ni kitamu sana.
Mimi binafsi toka nikiwa mdogo chakula chochote kilicholala huwa siwezi kukila,yani kuna hali flani hivi ya kichefuchefu huwa naihisi pale ninapokula kiporo hivyo hunipelekea kutapika.
Sasa nauliza hivi nyie wapenda kula viporo huwa mnavipendea nini na mnaweza vipi kula viporo bila kutapika?