Kuna kipindi enzi bado nakaa kwa baba na mama nilikua eti sili dagaa wala kunywa maziwa mgando.kuna nyakati kwenye maisha huwa zinatokea na kukufanya uweze kufanya kile ulichoona usingeweza kukifanya, kuna wakati utafika utaweza tu mkuu.
Kweli mkuukuna nyakati kwenye maisha huwa zinatokea na kukufanya uweze kufanya kile ulichoona usingeweza kukifanya, kuna wakati utafika utaweza tu mkuu.
kuna hali flani hivi ya kichefuchefu huwa naihisi pale ninapokula kiporo hivyo hunipelekea kutapika
Kwa hiyo mwili na akili za mtu huyo hutoa tafsiri tofauti na uhalisia?Kwa ufupi huo ni "stale body"!Kichefuchefu kwa vitu ambavyo kawaida havichefui ni tatizo la kiafya. Mwili unakuwa dhaifu sababu unaona sumu vitu ambavyo siyo sumu.
Ndiyo ndiyo. Hata wale wanaotapika na kupata kichefuchefu wakipanda gari hali huwa hivyo hivyo. Akili hupata wenge na kuhisi mwili umeingiliwa na sumu, hivyo hulicommand tumbo kutapisha.Kwa hiyo mwili na akili za mtu huyo hutoa tafsiri tofauti na uhalisia?Kwa ufupi huo ni "stale body"!
πππππππππhadi rahaKuna kipindi enzi bado nakaa kwa baba na mama nilikua eti sili dagaa wala kunywa maziwa mgando.
Dadeki baada ya kuanza maisha ya kujitegemea mpaka sasa ndio vitu vyangu pendwa hivyo..haipiti week nyumbani kwangu dagaa hawajapikwa
Kwahio chochote unachokula unapika siku hio hio? Unapika kila siku hata mboga saba?Siko hapa kumbeza yeyote, ila kuna kitu mimi binafsi kimenishinda kabisa katika maisha yangu.
Huwa naona na kusikia watu wanasifu kiporo cha wali maharage au wali kisamvu na chai ya maziwa eti ni kitamu sana.
Mimi binafsi toka nikiwa mdogo chakula chochote kilicholala huwa siwezi kukila,yani kuna hali flani hivi ya kichefuchefu huwa naihisi pale ninapokula kiporo hivyo hunipelekea kutapika.
Sasa nauliza hivi nyie wapenda kula viporo huwa mnavipendea nini na mnaweza vipi kula viporo bila kutapika?
Mara ya mwisho umetibu minyoo lini?Siko hapa kumbeza yeyote, ila kuna kitu mimi binafsi kimenishinda kabisa katika maisha yangu.