Hivi nyie wenzangu mnawezaje kuishi na wanaume wazubaifu?

Kuna raha fulani wanawake hupenda kuona mwanaume akiwa na mishe mishe nyingi. Yaani, kaingilia mlango huu, katokea huku, kisha kafika nyumbani, kakaa lisaa limoja, na kuendelea na misele yake. Mwanaume anarudi na mazaga mkononi, mnapiga stori, mnataniana, mnafurahi na kucheka. Kwa kifupi, mwanaume asiye poa ni furaha ya nyumba.

Lakini kuna majanaume fulani sijui kama yamekulia vijijini huko. Yenyewe yanazubaa tu, hayana mishe. Yanategemea mishahara pekee na yakitoka kazini ni moja kwa moja nyumbani, mpaka yanaboa. Wanaume hawa wanafuatilia tamthilia kwenye Azam TV, hawanywi hata wine, na gubu ndio usipime! Kununa kwa vitu vya kipuuzi ni kawaida. Kuvaa, hawajui; wanajua tu kuvaa manguo ya vitenge kama wacheza sindimba.

Jamani, wenzangu, mnawezaje kuishi na wanaume wazubaa hivyo?
We ni single maza?
 
Taifa linapitia wakati mgumu sana hili.
Siasa zimekua ngumu,mapenzi nayo watu wenyewe ndio kama hawa.
Vurugu tupu.
Hahah watu wana stress. .....sasa wanawake wakishakuwa na vihela tu wanaanza dharau.

Ona anavyomsema Mume wake ati anavaa nguo za mavitenge kama katoka vijijinin🤣🤣🤣

Wakati anamtongoza hadi kuoana huyo jamaa alikuwa na mapigo hayo hayo ya mavitenge.

Sema ukute mke kaenda chuo ku upgrade certificate yake kwenda Diploma kakutana na masharobalo anamtafutia sababu ya kuachana.

This is a future single maza. Maana huko anakoona kuzuri hawatamuoa.

Hii ndio sababu usioe single maza maana waliachwa kwa sababu ya maujinga yao kama haya.
 
Kuna raha fulani wanawake hupenda kuona mwanaume akiwa na mishe mishe nyingi. Yaani, kaingilia mlango huu, katokea huku, kisha kafika nyumbani, kakaa lisaa limoja, na kuendelea na misele yake. Mwanaume anarudi na mazaga mkononi, mnapiga stori, mnataniana, mnafurahi na kucheka. Kwa kifupi, mwanaume asiye poa ni furaha ya nyumba.

Lakini kuna majanaume fulani sijui kama yamekulia vijijini huko. Yenyewe yanazubaa tu, hayana mishe. Yanategemea mishahara pekee na yakitoka kazini ni moja kwa moja nyumbani, mpaka yanaboa. Wanaume hawa wanafuatilia tamthilia kwenye Azam TV, hawanywi hata wine, na gubu ndio usipime! Kununa kwa vitu vya kipuuzi ni kawaida. Kuvaa, hawajui; wanajua tu kuvaa manguo ya vitenge kama wacheza sindimba.

Jamani, wenzangu, mnawezaje kuishi na wanaume wazubaa hivyo?
tiGo unatoa?
 
Ata kama unatoa povu ndio uitaje ngoma ya kwetu ya sindimba sijapenda kwakweli!
 
Kuna raha fulani wanawake hupenda kuona mwanaume akiwa na mishe mishe nyingi. Yaani, kaingilia mlango huu, katokea huku, kisha kafika nyumbani, kakaa lisaa limoja, na kuendelea na misele yake. Mwanaume anarudi na mazaga mkononi, mnapiga stori, mnataniana, mnafurahi na kucheka. Kwa kifupi, mwanaume asiye poa ni furaha ya nyumba.

Lakini kuna majanaume fulani sijui kama yamekulia vijijini huko. Yenyewe yanazubaa tu, hayana mishe. Yanategemea mishahara pekee na yakitoka kazini ni moja kwa moja nyumbani, mpaka yanaboa. Wanaume hawa wanafuatilia tamthilia kwenye Azam TV, hawanywi hata wine, na gubu ndio usipime! Kununa kwa vitu vya kipuuzi ni kawaida. Kuvaa, hawajui; wanajua tu kuvaa manguo ya vitenge kama wacheza sindimba.

Jamani, wenzangu, mnawezaje kuishi na wanaume wazubaa hivyo?
Aisee, tuna mpongeza muheshimwa Raisi kwa kusababisha kuletwa kwa uzi huu, miatano kwa mama
 
Mimi sio mzuluraji pia nikitoka mishe ni straight home japo huwa napita sehemu ku boost akili (recreational) drink kidogo Tena alone sinaga marafiki Wala company.

Straight home nasalimiaga watu majirani Ila sinaga story nao naingia ndani piga story na wife oga ,kula, angalia TV kidogo then kulala.

Si bet, deals nafanya, sivuti sigara, sio womanizer, sifuatilii mpira kivile Ila naangaliaga nilipata wasaa nikiwa nyumbani, sipo TikTok,insta, tweeter, telegram,
 
Kweli Wanawake hawajui walitakalo

Anaweza kudate na Mwanaume anayefuga afro Kichwani, lakini baada ya muda akatamani ku-date mnyoa Kipara.

Anaweza ku-date Mwanaume mlevi, lakini baada ya muda akatamani mahusiano na Mwanaume asiye mlevi

Anaweza ku-date Mwanaume anayemiliki gari, lakini baadaye akaja ku-date na Mwanaume mwendesha Bodaboda

Ndiyo maana Kuna wadau wamewahi kushauri, Wanaume tusipoteze muda kuwafurahisha hawa warembo wetu
 
Wanawake mnatofautiana aisee.Mimi wangu anataka kuwa ananiona tu kila mara ,masimu ,masms hayana idadi na ananiweka kwenye maombi niache pombe.
 
Kuna raha fulani wanawake hupenda kuona mwanaume akiwa na mishe mishe nyingi. Yaani, kaingilia mlango huu, katokea huku, kisha kafika nyumbani, kakaa lisaa limoja, na kuendelea na misele yake. Mwanaume anarudi na mazaga mkononi, mnapiga stori, mnataniana, mnafurahi na kucheka. Kwa kifupi, mwanaume asiye poa ni furaha ya nyumba.

Lakini kuna majanaume fulani sijui kama yamekulia vijijini huko. Yenyewe yanazubaa tu, hayana mishe. Yanategemea mishahara pekee na yakitoka kazini ni moja kwa moja nyumbani, mpaka yanaboa. Wanaume hawa wanafuatilia tamthilia kwenye Azam TV, hawanywi hata wine, na gubu ndio usipime! Kununa kwa vitu vya kipuuzi ni kawaida. Kuvaa, hawajui; wanajua tu kuvaa manguo ya vitenge kama wacheza sindimba.

Jamani, wenzangu, mnawezaje kuishi na wanaume wazubaa hivyo?
Kupanga ni Kuchagua. Kwa nn ulitaka kuwa na huyo?
 
Ulikutana nao wapi wanaumevwa aina hiyo?
 
Unataka mume wako asikae nyumbani ili upate wasaa wa kunyanduliwa na vijana wa mtaani siyo.
 
Back
Top Bottom