Hivi nyumbani kwa Rais huwa pana facilities zote za Ikulu?

Hivi nyumbani kwa Rais huwa pana facilities zote za Ikulu?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Ukigombea Urais unaweza ukapata au usipate, na wakati unagombea unatokea kwenye nyumba yako ambayo naamini haizidi vyumba vitano vya kulala.

Ukipata Urais huwa Serikali inakwenda kuyajenga makazi yako ku accommodate facilities zote za ulinzi na makazi ya walinzi? Au kila kiongozi ufanya maamuzi yakujengewa au kutokujengewa?

Pale butihama au Msasani ukiingia uoni sehemu ya kuishi watu mia moja, kule msoga the same na hata kule milimani Tanga hakuna eneo kubwa hivi.

Hizo facilities ukistaafu zinakuwa Mali yako au Mali ya serikali? Kama zinakuwa Mali yako unazifanyia Nini?

Nakumbuka Zuma alijaribu kujenga kasiri kwake wakamvua madaraka sasa hivi anasota mahakamani, kwanini mataifa mengine ya Afrika hayafuati huu mfumo.

Kuwa na kasiri kunaatract kuendelea kuwa na watu wakulihudumia ambapo ili uwapate lazima lazima uzidi kubaki kwa pawer.

Tuelimishane kuhusu nyumba binafsi za watawala
 
Mkuu, ikulu ndogo zipo kila mkoa na katika makao makuu ya mkoa, na mara nyingi ikulu hizi hujengwa karibu na makazi ya Mkuu wa Mkoa husika. Kwa hili la Chato ni tofauti kidogo, kwani makao makuu ya mkoa wa Geita yapo wilaya ya Geita na wala siyo wilaya ya Chato, na tena ktk makazi binafsi ya Mkulu. Nahisi kuna sababu fulani za kiusalama zenye kuhamasisha Mkulu azidi aishi nje ya itifaki kwa muda mrefu sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda Kwa kukusaidia tu ni kwamba pale Chato wakati Magu hajawa Rais alitengeneza Motel nzuri sana pale ambayo kwakweli ina ubora na facilities za kisasa kuliko Ikulu ndogo nyingi hapa nchini.

Na serikali ilichoongeza pale ni ulinzi madhubuti ambao ni vifaa na personnel..ni rahisi kuhamishika.Na Ile lodge kabla ilikua open to public na Nina uhakika akimaliza shughuli zake za urais biashara ita-resume.(sina hakika kama ni operational Kwa SASA)
 
Labda Kwa kukusaidia tuu ni kwamba pale Chato wakati Magu hajawa Rais alitengeneza Motel nzuri sana pale ambayo kwakweli ina ubora na facilities za kisasa kuliko Ikulu ndogo nyingi hapa nchini. Na serikali ilichoongeza pale ni ulinzi madhubuti ambao ni vifaa na personnel..ni rahisi kuhamishika.Na Ile lodge kabla ilikua open to public na Nina uhakika akimaliza shughuli zake za urais biashara ita-resume.(sina hakika kama ni operational Kwa SASA)
MATUMIZI MABAYA YA RASLIMALI ZA NCHI PAMOJA NA MADARAKA , INAKUWAJE RASLIMALI ZA NCHI ZITUMIKE KULINDA MALI BINASFI (HOTELI ) UNATAKIWA UELEWE PALE CHATO JAMAA ANAYO MAKAZI YAKE BINAFSI NI HERI INGEJULIKANA YUPO KWENYE MAKAZI YAKE BINAFSI NDIO APEWE ULINZI HAPO NYUMBANI NA SIO HOTELINI KWAKE
 
Pengine miaka yote alikuwa anaishi na kulala humo hotelini kwake!
 
Ujinga ni mtaji mzuri sana kisiasa, wamefanikiwa katika hili.... na hata wenye timamu wameficha akili zao kwa hofu.
 
Hivi Tanzania kuna sehemu iitwayo Butihama kama ulivyoandika hapa Ndugu? Swali lako hili ni Mabeberu wamekutuma au?
 
Labda Kwa kukusaidia tuu ni kwamba pale Chato wakati Magu hajawa Rais alitengeneza Motel nzuri sana pale ambayo kwakweli ina ubora na facilities za kisasa kuliko Ikulu ndogo nyingi hapa nchini. Na serikali ilichoongeza pale ni ulinzi madhubuti ambao ni vifaa na personnel..ni rahisi kuhamishika.Na Ile lodge kabla ilikua open to public na Nina uhakika akimaliza shughuli zake za urais biashara ita-resume.(sina hakika kama ni operational Kwa SASA)

So huwa analala bure au anajilipa?
Kama anajilipa hiyo si conflict of interest makosa ambayo huwa anawatumbua wenzake hadharani?
I lost trust in this Fake mzalendo
 
Back
Top Bottom