Hivi nyumbani kwa Rais huwa pana facilities zote za Ikulu?

Hivi nyumbani kwa Rais huwa pana facilities zote za Ikulu?

Ni wapumbavu tu wanaoweza kudhan Rais angeweza kukaa chato muda wote huu kana kwamba anajiamulia tu, Rais ni taasisi naamin ktk hili tiss wanajua wanachofanya.

Lait shughuki za serikali hazijasimama na maamuz yanafanyika, mngetulia tu muache serikali ifanye majukumu yake na sisi tutimize wajibu wetu ikiwemo kujikinga na corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nawaza wale watu wanaokaa kwenye hotel yake pamoja na yeye hizo gharama za hotel serikali inalipia au wanakaa buree.

wanalipwa posho za kujikimu (perdiem) kila siku na serikali hawana shida wanatumia perdiem zao kujigharamia
 
Ni nyumba binafsi kama inatumika kwa mapumziko pekee, lakini inapotumika kufanya presidential duties inageuka Ikulu, hivyo ile ni Ikulu ya Chato!.
Kiswahili cha Kisiasa Kwa Watanzania: Ikulu sio Eneo Specific, ni Makazi ya Rais, Tuna Ikulu ya Magogoni, Chamwino, Sasa Hadi Ikulu ya Chato! - JamiiForums

P
Kama imegeuka state house cam state lodge for 40 days plus imekuwa fursa kwa investment.
1.Kuna Umeme kutoka kwenye national grid.

2.Kunajengwa Hospital ya rufaa ya kanda ya ziwa.

3.Kuna Airport yenye uwezo wa kutua jumbo jets.

4.Kuna kituo au soko la kuuza dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo wadogo.

5.Kuna national Park.

6.Chato imepakana na Ziwa Victoria.

7.Kiunganisho kwa barabara za rami kwa miji ya Mwanza, Geita, Kahama, Bukoba, Bihalamuro.

Ila sina uhakika kama kuna huduma pana ya benki,au kama kuna Hotel ya nyota 2 na zaidi.
 
Safi sana mkuu.
Ni wapumbavu tu wanaoweza kudhan Rais angeweza kukaa chato muda wote huu kana kwamba anajiamulia tu, Rais ni taasisi naamin ktk hili tiss wanajua wanachofanya
Lait shughuki za serikali hazijasimama na maamuz yanafanyika, mngetulia tu muache serikali ifanye majukumu yake na sisi tutimize wajibu wetu ikiwemo kujikinga na corona

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv nauliza na yale mafaili aliyokuwa akilala nayo kitandan vp amehama nayo?
Ni wapumbavu tu wanaoweza kudhan Rais angeweza kukaa chato muda wote huu kana kwamba anajiamulia tu, Rais ni taasisi naamin ktk hili tiss wanajua wanachofanya
Lait shughuki za serikali hazijasimama na maamuz yanafanyika, mngetulia tu muache serikali ifanye majukumu yake na sisi tutimize wajibu wetu ikiwemo kujikinga na corona

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii ni fani ya Yeriko, angepita mitaa hii angetudadavulia vizuri zaidi...
 
Labda Kwa kukusaidia tuu ni kwamba pale Chato wakati Magu hajawa Rais alitengeneza Motel nzuri sana pale ambayo kwakweli ina ubora na facilities za kisasa kuliko Ikulu ndogo nyingi hapa nchini. Na serikali ilichoongeza pale ni ulinzi madhubuti ambao ni vifaa na personnel..ni rahisi kuhamishika.Na Ile lodge kabla ilikua open to public na Nina uhakika akimaliza shughuli zake za urais biashara ita-resume.(sina hakika kama ni operational Kwa SASA)
Inaitwaje?
 
Kama imegeuka state house cam state lodge for 40 days plus imekuwa fursa kwa investment.
Ila sina uhakika kama kuna huduma pana ya benki,au kama kuna Hotel ya nyota 2 na zaidi.
Nahisi hili swali ni kama la uchokozi fulani hivi!.

Ni kweli unaulizia kiukweli kweli kama kuna Benki na hoteli Chato au unauliza tuu ili nikuwekee picha ya hotel the best in Chato na benki?.

Kwa kukusaidia, kwa vile mimi nimeisha wahi kufika Chato, this is the best hotel in Chato
images (12).jpeg

Naunga Mkono Uwanja wa Ndege wa Chato, Una Justification, Utakuwa kama Ggabolite, au Yamoussoukro, Watalii Watamiminika! - JamiiForums

P
 
Back
Top Bottom