Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hiyo Motel ni ya kulipia au watu wanakaa bure?
Labda Kwa kukusaidia tu ni kwamba pale Chato wakati Magu hajawa Rais alitengeneza Motel nzuri sana pale ambayo kwakweli ina ubora na facilities za kisasa kuliko Ikulu ndogo nyingi hapa nchini.
Na serikali ilichoongeza pale ni ulinzi madhubuti ambao ni vifaa na personnel..ni rahisi kuhamishika.Na Ile lodge kabla ilikua open to public na Nina uhakika akimaliza shughuli zake za urais biashara ita-resume.(sina hakika kama ni operational Kwa SASA)