NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Nadhani wasaidizi wake watakua wanalipa kutumia zile rooms za lodge.. otherwise yeye pale ana nyumba yake binafsi.So huwa analala bure au anajilipa?
Kama anajilipa hiyo si conflict of interest makosa ambayo huwa anawatumbua wenzake hadharani?
I lost trust in this Fake mzalendo
Ndio pale mkuu..nyumba yake iko nyuma ya hiyo motel Ola entrance ni mojaMATUMIZI MABAYA YA RASLIMALI ZA NCHI PAMOJA NA MADARAKA , INAKUWAJE RASLIMALI ZA NCHI ZITUMIKE KULINDA MALI BINASFI (HOTELI ) UNATAKIWA UELEWE PALE CHATO JAMAA ANAYO MAKAZI YAKE BINAFSI NI HERI INGEJULIKANA YUPO KWENYE MAKAZI YAKE BINAFSI NDIO APEWE ULINZI HAPO NYUMBANI NA SIO HOTELINI KWAKE
mkuu tafuta picha za ile siku amebeba mtoto,sio nyumba ni majumba makubwa tu ni kama complex fulaniKwa hiyo Magufuli yupo kwenye ile nyumba yake au kwenye ile lodge/motel yake?
Nadhani wasaidizi wake watakua wanalipa kutumia zile rooms za lodge.. otherwise yeye pale ana nyumba yake binafsi.
Ndio pale mkuu..nyumba yake iko nyuma ya hiyo motel Ola entrance ni moja
Hiyo ni kweli but Kwa mazingira ya Chato yalivyo..sioni options..Pesa wanazolipa wasaidizi wake anafaidika nazo nani? Si yeye huoni conflict of interest hapo?
kwa ninavofahamu Rais akiwa kijijini kwake (sio Rais wa Tanzania) walinzi wake wa karibu huishi naye kwenye nyumba yake au vyumba vya sehemu ya karibu lakini wale watu wengine mfano Rubani wa ndege wao huishi hotelini.Nadhani wasaidizi wake watakua wanalipa kutumia zile rooms za lodge.. otherwise yeye pale ana nyumba yake binafsi.
Ndio pale mkuu..nyumba yake iko nyuma ya hiyo motel Ola entrance ni moja
Hapo ndipo Kikwete alituweza watz..aliyaona haya ndio maana yeye alikuaga anaenda zake overseas.SASA huyu Magu anaenda tuu Chato na kila mtu anapita barabarani anajua Rais yupo.. angekuwa visiwa vya Caribbean unadhani Nani angebother kuhoji kisiwa alichofikia analinda Nani na ni cha Nani?!Huku sasa ni kuingilia faragha za watu!. Heshimu the right to privacy, hata nyumba za watawala pia zinalindwa na kipengele cha right to private property, kuingilia ni trespass!.
P
jamaa ni mjanja sana amejikita kwenye kuvuli cha uzalendo,ukitaka uwateke akili wananchi jiite mzalendo,ila wenzie kina Hitrel walikuwa wajanja walitumia pesa za umma pamoja na kuleta maendeleo.Hiyo ni kweli but Kwa mazingira ya Chato yalivyo..sioni options..
Ukigombea Urais unaweza ukapata au usipate, na wakati unagombea unatokea kwenye nyumba yako ambayo naamini haizidi vyumba vitano vyakulala.
Ukipata Urais huwa serikali inakwenda kuyajenga makazi yako ku accommodate facilities zote za ulinzi na makazi ya walinzi? Au kila kiongozi ufanya maamuzi yakujengewa au kutokujengewa?
Pale butihama au Msasani ukiingia uoni sehemu yakuishi watu mia moja, kule msoga the same na hata kule milimani Tanga hakuna eneo kubwa hivi.
Hizo facilities ukistaafu zinakuwa Mali yako au Mali ya serikali? Kama zinakuwa Mali yako unazifanyia Nini?
Nakumbuka Zuma alijaribu kujenga kasiri kwake wakamvua madaraka sasa hivi anasota mahakamani, kwanini mataifa mengine ya Afrika hayafuati huu mfumo.
Kuwa na kasiri kunaatract kuendelea kuwa na watu wakulihudumia ambapo ili uwapate lazima lazima uzidi kubaki kwa pawer.
Tuelimishane kuhusu nyumba binafsi za watawala
Unamaanisha mkulu sasa lodge yake inapiga pesa coz amepangisha serikal.Labda Kwa kukusaidia tuu ni kwamba pale Chato wakati Magu hajawa Rais alitengeneza Motel nzuri sana pale ambayo kwakweli ina ubora na facilities za kisasa kuliko Ikulu ndogo nyingi hapa nchini. Na serikali ilichoongeza pale ni ulinzi madhubuti ambao ni vifaa na personnel..ni rahisi kuhamishika.Na Ile lodge kabla ilikua open to public na Nina uhakika akimaliza shughuli zake za urais biashara ita-resume.(sina hakika kama ni operational Kwa SASA)
HAO WANATAKIWA WAGHARAMIWE NA SERIKALI kama wanakaa apo wanakaa kivipi? nani anawalipia na gharama manake hiyo ni sehemu ya biashara ni hotelTimu yake ya walinzi na watu wengine muhimu je?
how can you claim privacy of your private property while you have decided to perform a public ceremony (swearing of a minister ) and addressing the national in that private property?Huku sasa ni kuingilia faragha za watu!. Heshimu the right to privacy, hata nyumba za watawala pia zinalindwa na kipengele cha right to private property, kuingilia ni trespass!.
P
MATUMIZI MABAYA YA RASLIMALI ZA NCHI PAMOJA NA MADARAKA , INAKUWAJE RASLIMALI ZA NCHI ZITUMIKE KULINDA MALI BINASFI (HOTELI ) UNATAKIWA UELEWE PALE CHATO JAMAA ANAYO MAKAZI YAKE BINAFSI NI HERI INGEJULIKANA YUPO KWENYE MAKAZI YAKE BINAFSI NDIO APEWE ULINZI HAPO NYUMBANI NA SIO HOTELINI KWAKE
Ni nyumba binafsi kama inatumika kwa mapumziko pekee, lakini inapotumika kufanya presidential duties inageuka Ikulu, hivyo ile ni Ikulu ya Chato!.how can you claim privacy in your private property while you ave decided to perform a public ceremony (swearing of a minister ) and addressing the national in tat private property? Sijawahi kusikia duniani kokote pale kiongozi wa umma anaaipishwa kwenye nyumba binafsi
Mkuu sio kweli kama ingekuwa hivyo Serikali isingelazimika kujenga Ikulu Ndogo uko mikoani, kwani zingekuwa hazina ulazima kwani Raisi angeweza kufikia tu Sehemu yeyeto na hiyo sehemu wakati yupo paitwe ikuluNi nyumba binafsi kama inatumika kwa mapumziko pekee, lakini inapotumika kufanya presidential duties inageuka Ikulu, hivyo ile ni Ikulu ya Chato!.
Kiswahili cha Kisiasa Kwa Watanzania: Ikulu sio Eneo Specific, ni Makazi ya Rais, Tuna Ikulu ya Magogoni, Chamwino, Sasa Hadi Ikulu ya Chato! - JamiiForums
P