Hivi nyumbani kwa Rais huwa pana facilities zote za Ikulu?

Ni wapumbavu tu wanaoweza kudhan Rais angeweza kukaa chato muda wote huu kana kwamba anajiamulia tu, Rais ni taasisi naamin ktk hili tiss wanajua wanachofanya.

Lait shughuki za serikali hazijasimama na maamuz yanafanyika, mngetulia tu muache serikali ifanye majukumu yake na sisi tutimize wajibu wetu ikiwemo kujikinga na corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nawaza wale watu wanaokaa kwenye hotel yake pamoja na yeye hizo gharama za hotel serikali inalipia au wanakaa buree.

wanalipwa posho za kujikimu (perdiem) kila siku na serikali hawana shida wanatumia perdiem zao kujigharamia
 
Kama imegeuka state house cam state lodge for 40 days plus imekuwa fursa kwa investment.
1.Kuna Umeme kutoka kwenye national grid.

2.Kunajengwa Hospital ya rufaa ya kanda ya ziwa.

3.Kuna Airport yenye uwezo wa kutua jumbo jets.

4.Kuna kituo au soko la kuuza dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo wadogo.

5.Kuna national Park.

6.Chato imepakana na Ziwa Victoria.

7.Kiunganisho kwa barabara za rami kwa miji ya Mwanza, Geita, Kahama, Bukoba, Bihalamuro.

Ila sina uhakika kama kuna huduma pana ya benki,au kama kuna Hotel ya nyota 2 na zaidi.
 
Safi sana mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pawer ni nn? Ni lugha ya huko kwenu?
 
Hv nauliza na yale mafaili aliyokuwa akilala nayo kitandan vp amehama nayo?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii ni fani ya Yeriko, angepita mitaa hii angetudadavulia vizuri zaidi...
 
Inaitwaje?
 
Kama imegeuka state house cam state lodge for 40 days plus imekuwa fursa kwa investment.
Ila sina uhakika kama kuna huduma pana ya benki,au kama kuna Hotel ya nyota 2 na zaidi.
Nahisi hili swali ni kama la uchokozi fulani hivi!.

Ni kweli unaulizia kiukweli kweli kama kuna Benki na hoteli Chato au unauliza tuu ili nikuwekee picha ya hotel the best in Chato na benki?.

Kwa kukusaidia, kwa vile mimi nimeisha wahi kufika Chato, this is the best hotel in Chato


Naunga Mkono Uwanja wa Ndege wa Chato, Una Justification, Utakuwa kama Ggabolite, au Yamoussoukro, Watalii Watamiminika! - JamiiForums

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…