Hivi nyumbani kwa Rais huwa pana facilities zote za Ikulu?

Hiyo Motel ni ya kulipia au watu wanakaa bure?
 
Lengo la per diem ni fedha za kula na kulala, sisi Wasukuma ni wakarimu sana, tukiwa Usukumani kula bure, kulala bure, per diem za nini?.
P
Ni haki yake kwa maana yupo nje ya mkoa ambao ofisi yake ipo na anafanya kazi au kwa Rais na wasaidizi wake hiyo haki huondolewa?
 
Mwaka jana mwezi wa 11 nimepita pale nimepiga ugali samak saafi saana na samak samaki kweli yaan kiukweli pale ni pazur saana saana na hata vyakula vyao vipo safi sana vina ubora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..sidhani.

..kwasababu kulikuwa na mkutano wa maraisi wa eac kwa njia ya mtandao na bwana mkubwa hakuhudhuria.
 
Rais sio taasisi,Spika wa bunge sio taasisi,jaji mkuu sio taasisi.Hao wote ni viongozi tu wa taasisi.
 
Kaka Pascal naomba unisaidie Kwa kutumia kipaji na elimu yako ya journalism..Kwa mazingira ya Chato yalivyo (bahati nzuri umefika) Mr Magu Nyumbani kwake ni nyuma ya Motel anayoimiliki Kwa muda sasa, na wasaidizi wake(usalama wakiwemo) wanaweza kuamua wenyewe kutokana na uzoefu wao walale wapi..wakiona kiusalama ni Bora wakalale Mwanza Hotel au Malaika..au wakaamua kulala few meters away kutoka Kwa subject wanayoilinda(Magu in this case)...Je ni Busara kumlaumu Mr Magu ambaye imetokea akawa Rais na coincidentally nyumbani kwake Kwa mbele kuna lodge yake na wasaidizi wake wakaamua kuitumia Kwa sababu ambazo Mimi na wewe hatuwezi kuzifault!?
 
Samahani Mkuu Kabulala hili ni swali very sensitive security wise, sorry jibu lake sio for public consumption na linaweza kujibiwa na wale jamaa zetu tuu!, not me!.
Sorry.
P
 
Mwaka jana mwezi wa 11 nimepita pale nimepiga ugali samak saafi saana na samak samaki kweli yaan kiukweli pale ni pazur saana saana na hata vyakula vyao vipo safi sana vina ubora

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe iko operational... nilidhani baada ya Magu kuwa Rais lodge nzima ilifanywa official presidential home...basi nadhani ni Bora watu wa state house(especially Msigwa) aweke hili Jambo wazi.. sometimes its better kutoa maelezo haya madogo madogo ili kuweka ukweli wazi..kukaa kimya kunaleta bad taste katika roho na vinywa vya wananchi. Mind you..ni asilimia zero point something ya watz wamewahi kufika Chato ukitoa wenyeji.
 
Kuna Watanzania ni watu wa ajabu sana. JPM ataendelea kuwa rais hadi pale muda wake utakapoisha wachangiaji wengi wanajifanya wajanja lakini wakumbuke ''ndege mjanja hunaswa na tundu bovu.''
 
Samahani Mkuu Kabulala hili ni swali very sensitive security wise, sorry jibu lake sio for public consumption na linaweza kujibiwa na wale jamaa zetu tuu!, not me!.
Sorry.
P
Hilo pia ni jibu Kaka Pascal.. hopefully wenye akili watakua wameelewa.
 
Ipo wazi na mteja yoyote analuhusiwa kupata huduma,anatakiwa awe na barakoa na wanakifaa cha kupima joto,inaitwa JS Motel,nimepita jana hapo.wapo walinzi wa Suma Jkt.
 
Swali ni kweli rais Magufuli anashauriwa vibaya?.
Naamini Rais Magufuli ana washauri wazuri na anashauriwa vizuri tuu! , Ila... - JamiiForums

Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! . - JamiiForums


P
 
Kila Wilaya na Mkoa vinatakiwa kuwa na Ikulu ndogo, Inawezekana yuko Ikulu ndogo Chato au kaamua kukaa kwake hazuiliwi mradi shughuli zinaenda kama kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ninavyo kumbuka ni kuwa kuna sheria ilipitishwa wakati wa Rais Mkapa ambayo ilielekeze kuwa Nyumba Binafsi za Viongozi Wakuu wa Nchi kuwa na hadhi ya Ikulu ndogo ('State Lodge'). Hivyo Rais Magufuli kuitumia Nyumba yake ya Chato kama Ikulu ndogo si kosa kisheria..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…