Mind set imetengenezwa vibaya vibaya!Hii nchi tangu Magufuli aingie madarakani imekuwa yenye nuksi na mikosi.
Kipi Bora?
Kuongeza maslahi ya watumishi ili productivity iongezeke au kumwambia mtumishi aongeze uzalishaji ili aongezewe maslahi?
We ni Mtaalamu wa kodi?1% ya laki 1 ni 1000.. kama ndivyo walivyosema basi wameongezewa 1000
Hata hiyo haikufafanuliwa vema!Punguzo la kodi kwa 1% toka 9% to 8% linawahusu watu wenye mshahara wa kiasi gani?
Hata hiyo haikufafanuliwa vema!
Mama D safi sana. Unachotakiwa kufanya sasa ni kufafanua hicho ulicholeta. Kwanza hapo kuna lugha ya Kiingereza mabayo hata mimi ninaona nyota nyota tu. Mie nikuombe ufafanue mf. hiyo Tsh 22,500/- au 70,500/- na 202,500/- je ndiyo nyongeza au?Ufafanuzi upo ni vile tuu watanzania hatusomagi
Halafu tunaishiaga kulalamika
View attachment 1772020
M
Mama D safi sana. Unachotakiwa kufanya sasa ni kufafanua hicho ulicholeta. Kwanza hapo kuna lugha ya Kiingereza mabayo hata mimi ninaona nyota nyota tu. Mie nikuombe ufafanue mf. hiyo Tsh 22,500/- au 70,500/- na 202,500/- je ndiyo nyongeza au?
Ndo nini mama maana bado sijaelewa nisaidie kufafanua zaidiMshahara wa kuanzia 270,000 hadi Tsh. 520,000/= 9%
Mshahara wa 520,001 hadi Tsh. 760,000/= 20%
Mshahara wa 760,001 hadi Tsh. 1,000,000/= 25%
Mshahara wa 1,000,001 Tsh. / na zaidi = 30%
Haizidi elfu 3 mkuuHii imeshindwa kueleweka kwa wengi.
Je, ina maana kuwa ile kodi aliyokuwa analipa mfanyakazi lets say ni shilingi laki moja (100,000) kwa sasa inapungua kwa kiasi cha asilimia 1 ina maana analipa shilingi elfu tisini (90,000)? - Kwa maana hiyo kwenye mshahara wake anaongezewa shilingi elfu kumi (10,000) hiyo iliyopunguzwa kwenye kodi?
Hebu wanaojua mahesabu ya kodi mtufundishe hapa ili tujue kama ni siasa tu au kuna uhalisia wa punguzo hilo?
Hii imeshindwa kueleweka kwa wengi.

Nilipata F Mkuu! A level lakini!hesabu ulipata ngapi?
Ndo nini mama maana bado sijaelewa nisaidie kufafanua zaidi
MkuuHii imeshindwa kueleweka kwa wengi.
Je, ina maana kuwa ile kodi aliyokuwa analipa mfanyakazi lets say ni shilingi laki moja (100,000) kwa sasa inapungua kwa kiasi cha asilimia 1 ina maana analipa shilingi elfu tisini (90,000)? - Kwa maana hiyo kwenye mshahara wake anaongezewa shilingi elfu kumi (10,000) hiyo iliyopunguzwa kwenye kodi?
Hebu wanaojua mahesabu ya kodi mtufundishe hapa ili tujue kama ni siasa tu au kuna uhalisia wa punguzo hilo?
Ndugu iko hivi, kwanza lazima ujue hilo punguzo la asilimia moja, Linawahusu wale tu wenye vipato vya chini yaani utahusika hapo kama unapokea mshahara wa 270,000-520,000.Nilipata F Mkuu! A level lakini!
🤣🤣🤣🤣🤣 HiiIiii,siamini..hakuna mwenye utaalamu humu jf!hesabu inatuzingua,vip jamani Annual increments itakuepo?!mama hakuzungumzia hilo!Ndugu iko hivi, kwanza lazima ujue hilo punguzo la asilimia moja, Linawahusu wale tu wenye vipato vya chini yaani utahusika hapo kama unapokea mshahara wa 270,000-520,000.
Sasa twende vizuri hilo kundi hapo juu walikuwa wanakatwa kodi asilimia 9 ya mshahara wanaopokea.
Jana mama samia kasema atawapunguzia asilimia moja, kwenye hiyo asilimia 9 ili ibaki asilimia 8.
Sasa tuchukulie mfano mtu aliekuwa analipwa mshahara wa 300,000 kabla mama hajawapunguzia hiyo asilimia moja
300,000×9%=27,000 huyu mtu alikuwa analipa elfu ishirini na Saba.
Baada ya punguzo la asilimia 1 ikabaki asilimia 8
300,000×8%=24000.
Sasa huyu mtu mwisho wa mwezi badala ya kukatwa 27,000 atakuwa akikatwa 24000 ..so 27000-24000=3000 atapata unafuu wa 3000 kwa mwezi ya kunywa maziwa