- Thread starter
- #21
So its change la macho as waswahili say!Hakuna faida yoyote kwa mfanyakaz coz basic inabaki vilevile na hakuna nchi kukua kiuchumi kama Samia ataogopa kutake risk kama mtangulizi wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So its change la macho as waswahili say!Hakuna faida yoyote kwa mfanyakaz coz basic inabaki vilevile na hakuna nchi kukua kiuchumi kama Samia ataogopa kutake risk kama mtangulizi wake.
Sidhani kama badiliko la shilingi 3,000/- linaweza kutangazwa kwa namna ile pale Mei Mosi - ninaona kupata jibu zuri ni kusubiri tu. Shilingi elfu 3 kama ni kweli itakuwa ni dharau kwa wafanyakazi wa Tanzania.Ndugu iko hivi, kwanza lazima ujue hilo punguzo la asilimia moja, Linawahusu wale tu wenye vipato vya chini yaani utahusika hapo kama unapokea mshahara wa 270,000-520,000.
Sasa twende vizuri hilo kundi hapo juu walikuwa wanakatwa kodi asilimia 9 ya mshahara wanaopokea.
Jana mama samia kasema atawapunguzia asilimia moja, kwenye hiyo asilimia 9 ili ibaki asilimia 8.
Sasa tuchukulie mfano mtu aliekuwa analipwa mshahara wa 300,000 kabla mama hajawapunguzia hiyo asilimia moja
300,000×9%=27,000 huyu mtu alikuwa analipa elfu ishirini na Saba.
Baada ya punguzo la asilimia 1 ikabaki asilimia 8
300,000×8%=24000.
Sasa huyu mtu mwisho wa mwezi badala ya kukatwa 27,000 atakuwa akikatwa 24000 ..so 27000-24000=3000 atapata unafuu wa 3000 kwa mwezi ya kunywa maziwa