Hivi ongezeko la mshahara linalofanywa kisiasa kwa kupunguzwa kodi kwa asimilia 01 lina matokeo gani?

Hakuna faida yoyote kwa mfanyakaz coz basic inabaki vilevile na hakuna nchi kukua kiuchumi kama Samia ataogopa kutake risk kama mtangulizi wake.
So its change la macho as waswahili say!
 
Sidhani kama badiliko la shilingi 3,000/- linaweza kutangazwa kwa namna ile pale Mei Mosi - ninaona kupata jibu zuri ni kusubiri tu. Shilingi elfu 3 kama ni kweli itakuwa ni dharau kwa wafanyakazi wa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…