Sikia mostly wanachukua marks zako za written wanajumlisha na za Oral then wanatafuta average ukiingia na marks za written ndogo sana inakuwa ngumu kucompete na walio score marks nzuri kwenye writtenHivi wakubwa
Hizi oral za serikali ni lazima kujibu maswali yote kwa ufasaha au ni kitu gani kingine huwa wanaangalia ili kuweza kukuita kazini?
Sio kweli hiiSikia mostly wanachukua marks zako za written wanajumlisha na za Oral then wanatafuta average ukiingia na marks za written ndogo sana inakuwa ngumu kucompete na walio score marks nzuri kwenye written
Jibu moja unaloweza.Hivi wakubwa
Hizi oral za serikali ni lazima kujibu maswali yote kwa ufasaha au ni kitu gani kingine huwa wanaangalia ili kuweza kukuita kazini?
Lengo la kufanya interview ni lipi?Hivi wakubwa
Hizi oral za serikali ni lazima kujibu maswali yote kwa ufasaha au ni kitu gani kingine huwa wanaangalia ili kuweza kukuita kazini?
Hii sio kweli. Ukimaliza written, oral pia inajisimamia yenyewe. Averaging doesnt work utumishiSikia mostly wanachukua marks zako za written wanajumlisha na za Oral then wanatafuta average ukiingia na marks za written ndogo sana inakuwa ngumu kucompete na walio score marks nzuri kwenye written
SPeed has nothing to do. Confidence ndo jambo la msingi kuliko yote. Unaweza ukareply hata jibu ambalo sio kweli but confidence ulokuwa nayo ikakubeba... confidence, eye contact.. hizi za muhimuSio lazima kuyapatia yote,ila zingatia speed,eyes contacts,physical appearance.sio unaenda umenyoa kiduku na umevaa
YeahSPeed has nothing to do. Confidence ndo jambo la msingi kuliko yote. Unaweza ukareply hata jibu ambalo sio kweli but confidence ulokuwa nayo ikakubeba... confidence, eye contact.. hizi za muhimu
Wat if mswali umeulizwa 8 ukajibu 6 vizuri?Sio lazima ujibu maswali yote kwa ufasaha lkn at least fikia ata 80% ya maswali uliyoulizwa katika kutoa jibu fasaha
Kitu kingine wanaangalia haiba ya mtu
Jinsi unavyoongoe na kujenga hoja,
Mavazi uliyovaa
Nk
Hakunaga mtaalam kaka kwenye oral. Yani panel pale ndo wenye kila kitu. Ila jitahidi tu ujibu maswali yoteeWat if mswali umeulizwa 8 ukajibu 6 vizuri?