Hivi Padri mtuhumiwa wa ubakaji na yeye ana Wakili?

Ni mara ngapi sheria inapindishwa hata kama ushahidi ni wa ukweli? Mimi nasema kama ushahidi upo basi sheria ichukue mkondo wake yani pasiwe na kuchelewesha hukumu.
Sheria itachikuaje mkondo bila kuendesha kesi!?
 
Ana wapumbavu Hadi humu Jf wanamtetea, heti kiongozi wa kiroho tusimseme vibaya labda kasingiziwa, mtu kawafffira wanenu mnamtetea, pumbavu kabisa
 
Kwa mtu ambaye inaonekana umeelimika unashangaza ukicomnent hivi?

Na akipimwa akagundulika ni khanisi utasemaje?

Mahakama ndio chombo cha kutenda haki na kuthibitisha pasipo shaka yoyote kwamba mtuhumiwa ni guilty.
Yaani mnavyomtetea huyo padri nyie wakristo aisee, ngojea siku afanyiwe hivyo mtoto wako au we mwenyewe ukizima
 
Kuna dogo mmoja wa kike darasa la 5 juzi huku mtaani katoa taarifa Kwa wazazi wake kwamba kaingiliwa kote kote na msela, msala ukapelekwa huko mbele za sheria, hatua zikafutwa ikaonekana dogo hajaingiliwa wala nini.
Maswali yakabaki kibao.

Hivyo umakini ni muhumu
 
Ohoo why aseme hivyo?
 
Kuna mtu anaitwa Saul Goodman[emoji28]
Yeye anatetea wahalifu tu hata ukiua unaweza usifungwe. Kiwa hana pesa anatengeneza mchongo ili watu watende uhalifu wakamatwe awatetee.

Najua niko nje ya mada lakini...

Ni series?
 
Acha wawafffire tu hao mapadri,kiffffiiro mnapewa na hao mmmmapadri, hasira mlivyo matahila mnamalizia kwa Waislamu,
Kwani ni wote? Tunamzungumzia huyu aliekamatwa awajibishwe yeye. Ndo kama mashekhe nao sio wote kuna wanaofanya na kukamatwa wawajibishwe,wachungaji vilevile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…