Hivi Padri mtuhumiwa wa ubakaji na yeye ana Wakili?

Hivi Padri mtuhumiwa wa ubakaji na yeye ana Wakili?

Hatari sana. Yani unakomaa kukipinga kitoto kiluchoumizwa na jitu zima tena kwa vifungu
Ndio kazi ya wakili kumsaidia judge kutafsiri sheria vizuri, mahakama Ndio itasema kama ana hatia ama la. Hata daktari hawezi kukataa kuwatibu watu walionatana (penis captivus) kwenye uzinzi
 
Ohoo why aseme hivyo?
Sababu hazijulikani. Na mzazi wa dogo alileta ugomvi mkubwa Sana kwa msela kabla kesi haijaenda mbele huko. Paliwaka Moto.

Dunia ina mambo mengi aisee.

Huyo padri Kama dogo imethibitika kaingiliwa. Ohoooo imekula kwake.
 
Attachments

  • Screenshot_20220519-130840.jpg
    Screenshot_20220519-130840.jpg
    33.3 KB · Views: 4
Sababu hazijulikani. Na mzazi wa dogo alileta ugomvi mkubwa Sana kwa msela kabla kesi haijaenda mbele huko. Paliwaka Moto.

Dunia ina mambo mengi aisee.

Huyo padri Kama dogo imethibitika kaingiliwa. Ohoooo imekula kwake.
2003-7 pale Kuna padri alikuta na hii kadhia,alikaa ndani muda mfupi akatoka
 
Ndio kazi ya wakili kumsaidia judge kutafsiri sheria vizuri, mahakama Ndio itasema kama ana hatia ama la. Hata daktari hawezi kukataa kuwatibu watu walionatana (penis captivus) kwenye uzinzi
Anawezaje zaidi ya kukata viungo? Hy mpk wampelekee venye aliefanya ategue. Ndo maana hata huyo wakili anaweza kupelekea kumfanya judge kutafsiri sheria vibaya kwa sbb ya utetezi wake wenye mrengo wa kumdidimiza mlalamikaji.
 
Sababu hazijulikani. Na mzazi wa dogo alileta ugomvi mkubwa Sana kwa msela kabla kesi haijaenda mbele huko. Paliwaka Moto.

Dunia ina mambo mengi aisee.

Huyo padri Kama dogo imethibitika kaingiliwa. Ohoooo imekula kwake.
Dogo kuna ishu na jamaa sio bure
 
Kuna mwana aliliwa Sana na mapadri,jamaa Hadi utu uzima anakung'utwa..ana hela,so anakuhonga inaenda kula mzigo
Duuh hii aibu sasa. Unaona madhara yake ee,mimi nimefurahi amekamatwa hii itaweka awareness hata kwa wtt wasiwaamini sana hawa wachunga kondoo na walimu wao wa madrasa sanaa mpk kila analomwambia anaona ni sawa kisa tuu ameaminishwa ni watu wa Mungu. Kuna wazazi wanawaamini sana hawa watu
 
Anawezaje zaidi ya kukata viungo? Hy mpk wampelekee venye aliefanya ategue. Ndo maana hata huyo wakili anaweza kupelekea kumfanya judge kutafsiri sheria vibaya kwa sbb ya utetezi wake wenye mrengo wa kumdidimiza qmlalamikaji.
Kwa hiyo unataka apigwe maisha kama mama shafii wa morogoro aliyebaka kivulana?
 
An accused is innocent until proved (proven?) guilty!
Hapo kwenye ku 'prove guilty' hapo hapo ndo kunaleta hayo ma process.

Btw, hii kitu isikie tu. Akifanyiwa mwanao inauma utatamani hata mkosaji ahasiwe na akifanya ndugu yako pia utamuonea huruma hata ukiambiwa uchangie pesa ya wakili utachanga mweeeeh 😂 ( nacheka huku naogopa)
God forbid!
 
Ila unaangali madhara ya sasa na ya badae bora kinuke
 
Uwakili ni kazi ya ajabu sana kwakweli, yaani unaanzaje kumtetea mtu katili kama huyo Padri, anaeweza kubaka watoto wadogo?

Mimi ni Mkatoliki kabisa ila naomba sana sheria isipindishwe kwa huyu mtu, apewe adhabu stahiki iwe fundisho kwa wote wanaonyanyasa watoto kihisia kwa sababu ya mwamvuli wa dini.

Leo mahakamani amejificha mpaka pua huiioni kama angekua hajatenda hivyo kwanini ajifiche? Wapo wengi aina yake huko makanisani wenye mapepo kama yake, wanaowaka tamaa kwa watoto ipo siku yao.

Yaani natamani hata mahakama wamtoe kwa wazazi na wananchi wa huko Moshi huyo mtu wamponde mawe. Kuna mtu amesoma naye Seminary anashangaa kwanini hata alifikia level ya upadri wakati tabia yake ya uchafu alianza zamani.

Wakili acha kutetea upumbavu wakati ushahidi upo, maana mtoto au watoto hawawezi kudanganya na tena kwa mtu waliyeaminishwa ni mtu wa Mungu mjue mpaka wamesema wamenyanyaswa haswa.
Mwanangu kipenzi...sitaki nimtetee huyu Padri lakini ninakupa angalizo.

Hizi huduma zinafitina nyingi.
Huenda hata alikula mke wa muumini akatengenezewa zengwe au wivu wa kihuduma.

Haya yapo.

Kuna padri Moshi alikuwa anafadhili watoto wa mafukara huwezi amini alitengenezewa mtego kupiyia binti mmojawapo anayemfadhili ili atengenezewe skendo.
Mtego wa kwanza ulifeli alishtuka kabinti kanaomba kaje kumsalimia wakati walikizo lkn anataka wakutane hotelini.

Hii akaishinda ikaundwa mbinu nyingine nzito zaidi.

Wanadamu waache kama walivyo.

Lakini kama huyu kahusika basi sheria ifanye kazi.
Ndio atatetewa akitaka na ni haki yake kupata wakili
 
Back
Top Bottom