Mkendo
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,137
- 2,233
Kama kuna watu wanaishi maisha ya kinafiki ni hawa mapadri.
Huku mtaani wanavuruga sana wake za watu, ona sasa huyu na tuhuma za kubaka watoto.
Kanisa bila kufanya mabadiliko juu ya hawa watawa litakumbwa na kashfa za mara kwa mara.
Fanyeni mageuzi kwenye sera zenu,waruhusuni waoe,kuliko kujificha kwenye Chaka la useja kumbe ndani ni waharibifu wakubwa.
Tena huyu mbakaji ikibainika pasi na shaka katenda kosa ,ale Mvua za kutosha iwe mfano kwa wengine.