Uchaguzi 2020 Hivi pamoja na "promo" yote ya mabango yaliyotapakaa nchi nzima, ni kwanini CCM inapelekwa mchamchaka na Tundu Lissu?

Nimeshuhudia udikteta kwa macho yangu. Mabango wamezuia,tv wamezuia,redio,magazeti. Mikutano yake mabomu. Binafsi sikua na mpango wa kupiga kura ila nitakwenda kupiga ili walau niondoe hasira nilizonazo. Amenyanyaswa sana.
Hakika raia wana jambo lao ifikapo hiyo October 28, kutokana na kuona haya maonevu wanayofanyiwa wapinzani, hususani chama kikuu cha upinzani nchini cha CHADEMA
 
Fedha yote ya kampeni CCM ni fedha za umma. Hii inazidisha hasira kubwa sana. Kifo cha CCM kwa lugha yeyote ile ni tarehe 28 Oktoba 2020.
Hii kitu ilishaga kufa, tukionacho ni kikundi tu cha wachache walioiteka serikali.
 
Slogan yetu watanzania ni hii:
" .......kufuli tunavunja, pombe tuna mwaga na Ikulu tunaingia, tumeamua Kwa ridhaa yetu wenyewe kumkataa shetani na kazi zake zote "

Masikini ni kiumbe kimoja dhaifu na jinga sana ,hataki tajiri awe na kitu ambacho yeye hana uwezo nacho kukimiliki, hanakuwa hana tofauti na mchawi.chadema hamjakatazwa kuweka mapicha na mabango.
Hujasikia maccm wakishusha bendera za Cdm?! Figisu kibao

Umma wa waTz tuna jambo letu oktoba 28
 
Masikini ni kiumbe kimoja dhaifu na jinga sana ,hataki tajiri awe na kitu ambacho yeye hana uwezo nacho kukimiliki, hanakuwa hana tofauti na mchawi.chadema hamjakatazwa kuweka mapicha na mabango.
Hatuna kodi nchi yenu
 
Tundu Lissu ndo anapelekwa mchakamchaka! Kashindwa kuzunguka nchi nzima amerudi tena kanda ya Ziwa, kama sio kihoro ni nini! TAL hapati hata 10% ya kura
 
Tangu lini lissu umfananishe na Daudi? Mtu mwenyewe hata Mungu hamuamini, rejea saga la korona, "eti Mungu hawezi kushinda sayansi" sasa mtu wa hivi umfananishe na mfalme Saudi. Lissu hashindi uchaguzi labda ashinde njaa!
 
Tangu lini lissu umfananishe na Daudi? Mtu mwenyewe hata Mungu hamuamini, rejea saga la korona, "eti Mungu hawezi kushinda sayansi" sasa mtu wa hivi umfananishe na mfalme Saudi. Lissu hashindi uchaguzi labda ashinde njaa!
Hivi nyinyi maccm bado tu hamjashikwa na kihoro kwa namna Tundu Lissu anavyowapeleka mchamchaka?
 
Hapa Segerea jana wamelazimisha kila mwenyekiti wa mtaa apeleke watu 30 ,ni nguvu siyo hiari lazima apeleke watu 30 kutoka kila mtaa kwenye mkutano wa Magufuli na costa zilikuwa zinapita ,kwa wewe ni mzuri hakuna haja kuforce, wachafu ndo huwa wanaforce na kutafuta attention ,kwahiyo ulichokiandika hapo ni utumbo na akili zako zimejaa makamasi
 
Ndugu yangu nakueleza tu ukweli ,CHADEMA nao wanapiga promo vibaya mno mi mwanzo nilikuwa najua watu wanafuatilia kupitia simu ndio wanajua mikutano ilipo lakini jana nilikuwa natokea Mwanza nikapumzika Tinde kwa siku mbili, huwezi amini matangazo kila dakika gari linapita wamekesha wakitangaza kuwa Lissu atapita kuhutubia hapo sasa kilichotokea ni kwamba hakuna aliyejitokeza kumsikiliza
akaamua kujiondokea mpaka Kahama, hoja yangu ni kwamba wanaojitokeza kwenye kampeni za Lissu hawajileti wanatafutwa kwa Matangazo na ushawishi kubwa kwa ujumla kuna usanii kwenye kampeni japo si sehemu zote.
 
We kweli mpumbavu tu ,video zipo watu wamemsidikiza Lissu hotelini hadi wanatawanywa kwa mabomu ,halafu unasema watu hawakutokea ,nye watu wa CCM akili zenu hazina tofauti na nguruwe
 
Huna hoja zaidi ya kujifariji tu
 
Hahahaaa endelea kujifariji! Eti Tinde iwe na watz wanaotufautiana sana mtizamo na Kagongwa, Kahama na Nzega na wakati hilo ni eneo moja linalofanana changamoto?
Danganya maccm wenzako tu
 
Dikteta huwa tumia watumishi wa umma kuonekana kuwa anapendwa sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…