Unajidanganya sana maskini. Pambana upate mali, familia inahusu wewe watoti, wajukuu na vitukuu , endelea hivo hivo kuranda mbao, huwekezi, useme utakufa kila mtu atajitafutia, ujinga sana huu. Mimi nilifiwa na mzee wangu, sikuwahi kanyaga hata mbeya, kupitia mirathi, niliweza kufika nchi nyingi za ulaya, uwekezaji wangu ulikua, baba alituacha vizuri sana. Na nyumbani yapo magari yake, na yapo magari tuliyonunua baada ya yeye kufariki, appartments, watoto wote wamemaliza kusoma, mm ni mkubwa mzee alifariki siku tatu baada ya kupokea matokeo yangu ya chuo, anayenifata alikua form 2 anaelekea kwenye mitihani, watatu alikua darasa la nne, wa mwisho darasa la kwanza, sasa kaa na mawazo ya kimaskini. Familia yako itateseka hata ufe.