Hivi Pesa za kurithi na mali zake zina laana gani??

Hakun laana ,
Maajiri wengi huwa na mifumo mizuri ya kurisishasha.
Sis watu wa kundi la kawaida mara nyingi wanaobaki wanakuchukilia urithi kama pesa ya bonus.

Ngoja nisubr nami nione nitatokaje😊🎩
Na wewe una mzigo unausubiria?
 
Hii kweli inaweza muwa mwarobainiin. Uwajue mapema
 
Haifahamiki kwa undani
 
Je ndio laana hizi?
 
Kwa hiyo mkuu huo ni ujanja
Alhamdulillah nina wake na watoto na nimetembea nchi 32 so far
Ninakarabia kustaafu sasa
Huenda nikaishi Spain au Italy na kumaliza mda wangu duniani
Watoto wamekuwa, jambo la kushkuru
Huyo wa kuja kula hela zangu akisubiri nife hayupo
Maisha unapanga mwenyewe Sheikh
Na Mungu anajua zaidi
Itakavyokuwa ndio hivyo
Wazungu wanaachia mirathi mpaka mbwa
Wengine wanaacha zichukuliwe na bank au hata charity
Chukulia maisha simple kwani kifo kipo pale pale
Tuombe sana tuwe na mwisho mwema tu hilo ndio muhimu
 
ReMind you sio. Wote mkuu wanafanya such biznes
Hahaha....Hata Juzi RC wa Dae kasema azikwe kiislam ili watoto wasibaki wanatabika njaa kwa kutumia fedha nyingi za mazishi

Niliwaza kwanini kasema hivyo wakati wao ni Kundi la Tz First Class
 
Hongera kwa kua na mtizamo huo, nchi 32 sio habah wengine hatufikishe hata nchi 10, ila mimi navojua maisha ya ughaibuni ni sacrifice tupu, ukistaafu jitahidi ku-enjoy pesa yako hamna atakae hurumia japo unataka ku-retire na kuishi foreign land ni maaumivu mengine, .....

Am just thinking of my retirement package of having 100 acre of land within the vicinity of the city not more than 40km, have some livestock running water power source Internet communication, then I shift with my second 29years old wife who is still vibrant en energetic to care me en farm, then I sit to wait Allah's call (death)
 
Wasomi wengi hasa waliotokea familia za kimasikini kisha wakajipata huwa wanamsemo wao kuwa "sitaki wanangu wapitie shida nilizopitia".
matokeo yake ikitokea akastaafu au akifariki watoto wake wanapata shida zaidi ya alizopitia na hakuna wa kuwasaidia.
 
Aisee umeongea pointi
 
Excessive love to your children ni hatari some time, achia watoto wajitafutie mapema ukiwa bado uko hai kwanini unakubatia watoto ambao wengine wako above 20yrs eti onaonyesha mapenzi kwa wanao, ndo kuwaharibu ulimwengu watawafundisha tena vibaya sanaa
 
Katika maisha yako usije akawa na matumaini mengi kwa watoto wako na mkeo, usijiumize sanaa eti unatengenezea watoto wako future watakuangusha tu......wafundishe maisha yao sio kuwatengenezea maisha hao hawakujua jinsi mali inavo tafutwa.
Unajidanganya sana maskini. Pambana upate mali, familia inahusu wewe watoti, wajukuu na vitukuu , endelea hivo hivo kuranda mbao, huwekezi, useme utakufa kila mtu atajitafutia, ujinga sana huu. Mimi nilifiwa na mzee wangu, sikuwahi kanyaga hata mbeya, kupitia mirathi, niliweza kufika nchi nyingi za ulaya, uwekezaji wangu ulikua, baba alituacha vizuri sana. Na nyumbani yapo magari yake, na yapo magari tuliyonunua baada ya yeye kufariki, appartments, watoto wote wamemaliza kusoma, mm ni mkubwa mzee alifariki siku tatu baada ya kupokea matokeo yangu ya chuo, anayenifata alikua form 2 anaelekea kwenye mitihani, watatu alikua darasa la nne, wa mwisho darasa la kwanza, sasa kaa na mawazo ya kimaskini. Familia yako itateseka hata ufe.
 
Sasa mkuu wewe ni tajiri? Au custodian wa mirathi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…