Hivi Pesa za kurithi na mali zake zina laana gani??

Hela hazina shida. Watu ndio wanashida. Zichukue weka kabatini uone kama zitakuletea Ukimwi.
 
We jamaa bwana
 
Wanasema eti watoto wasiteseke kama wao. Yaani mtoto ku hustle maisha wanaita kuteseka.

Ndio hawa wanatuteka na kutuaa ili wabaki madarakani kurithisha watoto wao
 
You are one of the previleged. Mungu ni Mwema
 
Mali nzuri tafuta mwenyewe, bora uombe mtaji kwa mzee akiwa bado yuko hai, ikiwezekana kopa kwa mzee ili baadae urudishe...
Hii inasaidia pia kwenye suala zima la migogoro na ndugu
 
HAZINA LAANA MKUU

LAANA WALIOACHIWA

MM NA MALI ZA NGU

URITHI UKAJA SIJAWAHI KUSITIKA XAIDI YA KUWAOMBEA WAZAZI WALIPONIACHIA VYUMBA KADHAA M NIMEONGEZA 5 KILA SEHEMU UTUKUFU KWA BWANA

MITOTO MINGINE LAANA UJAMTUMZA MZAZI UNAKUMBILIA MALI UNAANZAJE KUSURVIVE
 
Hongera sana mkuu umewatendea haki wazazi wako na uzao wako pia.

Wewe kwenye vikao vya kataa ndoa?
 
Inategemea ni mzaliwa wa ukanda gani, kuna ile kanda ya shughuli na vigoma usiku kucha unatemea itaelewa somo la mzee?
Kweli aisee hii kanda ya vigoma utakuta Baba kaacha Nyumba moja watoto wanne wa kiume, wote wameoa na wanaishi humo hakuna hata mwenye kiwanja.
 
Mimi hapa nimetafuna laki leo. Baada ya Mke wangu kunitumia milioni tano ktk pesa zake alizouza gari yakeπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Mkuu,
Tumia pesa ya mkeo pole pole..

Kipindi nikiwa askari tulipenda kuwaita watu wajuaji Kama """BUSH LAWYER""
πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜‰
SISI WA KITAMBO TUME ZEEKA NILIKIMBIA JESHINI KAMA MADEREKAA
 
Mkuu,
Tumia pesa ya mkeo pole pole..

Kipindi nikiwa askari tulipenda kuwaita watu wajuaji Kama """BUSH LAWYER""
πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜‰
SISI WA KITAMBO TUME ZEEKA NILIKIMBIA JESHINI KAMA MADEREKAA
Mkuu kalaki tu nilikuwa najipongeza tu leo. Ila kiukweli hakakuwa kwenye bajeti ya matumizi leoπŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…