Mtu wa leo
Member
- Apr 21, 2023
- 75
- 97
SawaHuna pesa Wala mali wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaHuna pesa Wala mali wewe
Hela hazina shida. Watu ndio wanashida. Zichukue weka kabatini uone kama zitakuletea Ukimwi.Sipendi kufatilia maisha ya watu lakini bora tuzungumze ili kama kuna njia au daaa ya kuzuia hili basi tunufaike nalo
Hapa mtaani kwetu Mtoni Kijichi TMK Dar kuna mjomba Wangu alistafu Jeshini kitengo maalumu alikuwa na watoto wawili wa kike na kiume.
Huyu mzee alitumia ujana wake vizuri, alipanga uzazi vyema, kajiwekeza na kusomesha watoto.
Basi mzee wa watu akifariki baada ya siku zake kufika.
Gari lake Mama watoto akauza, alikuwa, huyu wa kiume alikuwa south Afrika. Akarudi na akahamasisha wenzake wachukuwe kiinua mgongo cha mzee.
Wakatapa 150M na wakapiga zikaisha.
Mama yao akawa anahonga dogodogo wa kumkamua.
Yule Binti Mkubwa akapata Bwana akamnunulia Bwana wake Noah ya kutembelea.
Maisha yakaendelea. Binti anapiga bata si mchezo. Viwanja na hotel kali zote anazijua. Mameni ndio usiseme na yeye ndiye anawahonga.
Wakauza Nyumba na kiwanja alichoacha mzee 400M.
Wakagawana Binti na Kaka yake na Mama akala sehemu yake.
Huyu wa kiume akanunua Fuso la Mizigo kwenda Mtawara na Lindi.
Akafilisika Fuso akauza.
Mama amebaki choka mbaya, yule dada yuko hoi anakula karanga kila siku.
Je hizi pesa zina shida gani?
We jamaa bwanaHongera kwa kua na mtizamo huo, nchi 32 sio habah wengine hatufikishe hata nchi 10, ila mimi navojua maisha ya ughaibuni ni sacrifice tupu, ukistaafu jitahidi ku-enjoy pesa yako hamna atakae hurumia japo unataka ku-retire na kuishi foreign land ni maaumivu mengine, .....
Am just thinking of my retirement package of having 100 acre of land within the vicinity of the city not more than 40km, have some livestock running water power source Internet communication, then I shift with my second 29years old wife who is still vibrant en energetic to care me en farm, then I sit to wait Allah's call (death)
Wanasema eti watoto wasiteseke kama wao. Yaani mtoto ku hustle maisha wanaita kuteseka.Excessive love to your children ni hatari some time, achia watoto wajitafutie mapema ukiwa bado uko hai kwanini unakubatia watoto ambao wengine wako above 20yrs eti onaonyesha mapenzi kwa wanao, ndo kuwaharibu ulimwengu watawafundisha tena vibaya sanaa
Hahaha.....Dada tayari kashaunguaHela hazina shida. Watu ndio wanashida. Zichukue weka kabatini uone kama zitakuletea Ukimwi.
You are one of the previleged. Mungu ni MwemaUnajidanganya sana maskini. Pambana upate mali, familia inahusu wewe watoti, wajukuu na vitukuu , endelea hivo hivo kuranda mbao, huwekezi, useme utakufa kila mtu atajitafutia, ujinga sana huu. Mimi nilifiwa na mzee wangu, sikuwahi kanyaga hata mbeya, kupitia mirathi, niliweza kufika nchi nyingi za ulaya, uwekezaji wangu ulikua, baba alituacha vizuri sana. Na nyumbani yapo magari yake, na yapo magari tuliyonunua baada ya yeye kufariki, appartments, watoto wote wamemaliza kusoma, mm ni mkubwa mzee alifariki siku tatu baada ya kupokea matokeo yangu ya chuo, anayenifata alikua form 2 anaelekea kwenye mitihani, watatu alikua darasa la nne, wa mwisho darasa la kwanza, sasa kaa na mawazo ya kimaskini. Familia yako itateseka hata ufe.
Eeh tena? 🤣🤣🤣
We kweli Mchaga OG.Sisi wengine tuna spirit ya kichaga....YAAN UNAWEZA SHINDA NJAA WAKATI UNAYO PESA MFUKONI...PESA YENYE MALENGO 😂🤣
Mimi nikiwa na pesa Bado utulivu unakuwepo 100%
HAZINA LAANA MKUUSipendi kufatilia maisha ya watu lakini bora tuzungumze ili kama kuna njia au daaa ya kuzuia hili basi tunufaike nalo
Hapa mtaani kwetu Mtoni Kijichi TMK Dar kuna mjomba Wangu alistafu Jeshini kitengo maalumu alikuwa na watoto wawili wa kike na kiume.
Huyu mzee alitumia ujana wake vizuri, alipanga uzazi vyema, kajiwekeza na kusomesha watoto.
Basi mzee wa watu akifariki baada ya siku zake kufika.
Gari lake Mama watoto akauza, alikuwa, huyu wa kiume alikuwa south Afrika. Akarudi na akahamasisha wenzake wachukuwe kiinua mgongo cha mzee.
Wakatapa 150M na wakapiga zikaisha.
Mama yao akawa anahonga dogodogo wa kumkamua.
Yule Binti Mkubwa akapata Bwana akamnunulia Bwana wake Noah ya kutembelea.
Maisha yakaendelea. Binti anapiga bata si mchezo. Viwanja na hotel kali zote anazijua. Mameni ndio usiseme na yeye ndiye anawahonga.
Wakauza Nyumba na kiwanja alichoacha mzee 400M.
Wakagawana Binti na Kaka yake na Mama akala sehemu yake.
Huyu wa kiume akanunua Fuso la Mizigo kwenda Mtawara na Lindi.
Akafilisika Fuso akauza.
Mama amebaki choka mbaya, yule dada yuko hoi anakula karanga kila siku.
Je hizi pesa zina shida gani?
Inategemea ni mzaliwa wa ukanda gani, kuna ile kanda ya shughuli na vigoma usiku kucha unatemea itaelewa somo la mzee?Huyo marehemu angempanga mkewe toka mwanzo ungesaidia kuepusha mali kuliwa hovyo.
Hongera sana mkuu umewatendea haki wazazi wako na uzao wako pia.HAZINA LAANA MKUU
LAANA WALIOACHIWA
MM NA MALI ZA NGU
URITHI UKAJA SIJAWAHI KUSITIKA XAIDI YA KUWAOMBEA WAZAZI WALIPONIACHIA VYUMBA KADHAA M NIMEONGEZA 5 KILA SEHEMU UTUKUFU KWA BWANA
MITOTO MINGINE LAANA UJAMTUMZA MZAZI UNAKUMBILIA MALI UNAANZAJE KUSURVIVE
Kweli aisee hii kanda ya vigoma utakuta Baba kaacha Nyumba moja watoto wanne wa kiume, wote wameoa na wanaishi humo hakuna hata mwenye kiwanja.Inategemea ni mzaliwa wa ukanda gani, kuna ile kanda ya shughuli na vigoma usiku kucha unatemea itaelewa somo la mzee?
Mimi hapa nimetafuna laki leo. Baada ya Mke wangu kunitumia milioni tano ktk pesa zake alizouza gari yake😃😃😃Yes,
NB.
Mwisho wa moto majivu.
KabisaKweli aisee hii kanda ya vigoma utakuta Baba kaacha Nyumba moja watoto wanne wa kiume, wote wameoa na wanaishi humo hakuna hata mwenye kiwanja.
Mkuu,Mimi hapa nimetafuna laki leo. Baada ya Mke wangu kunitumia milioni tano ktk pesa zake alizouza gari yake😃😃😃
Mkuu kalaki tu nilikuwa najipongeza tu leo. Ila kiukweli hakakuwa kwenye bajeti ya matumizi leo😅Mkuu,
Tumia pesa ya mkeo pole pole..
Kipindi nikiwa askari tulipenda kuwaita watu wajuaji Kama """BUSH LAWYER""
😄😂😀😉
SISI WA KITAMBO TUME ZEEKA NILIKIMBIA JESHINI KAMA MADEREKAA
Mzee kuacha kazi serikalini ulijikana kweli kweliMkuu,
Tumia pesa ya mkeo pole pole..
Kipindi nikiwa askari tulipenda kuwaita watu wajuaji Kama """BUSH LAWYER""
😄😂😀😉
SISI WA KITAMBO TUME ZEEKA NILIKIMBIA JESHINI KAMA MADEREKAA