Hivi Prof. Jay kwanini tu asiache muziki?

Kwanini usiache kupumua braza. Muziki wake unakupunguzia nini ww na ukoo wako
 
Kabisaa... Aache tu. Kaimba hoovyooo...
 
Prof j mzik aliimba zaman
Co sasa .now anawasindikiza underground
 
Una matatizo
 
Taarabu imeharibu vijana wengi sana,mleta mada kabla hujapost chochote shirikisha ubongo wako na unachotaka kupost, hip hop sio taarabu
Mkuu sijawahi kusikiliza taarabu,,lakini pia huna utakachoniambia ktk hip hop
 
Hivi kipimo cha nyimbo mbovu ni kipi? kila mtu na kile anachokipenda ndio maana ukiuliza msanii mkali bongo kila mtu atamtaje wake, hatufanani sikiliza tena [HASHTAG]#kibabe[/HASHTAG]
Mimi sina msanii mkali,bali nina wimbo mkali
 
Ha ha ha haaa. Eeh bwana eh! Aisee kuna watu mna mahaba kuliko maelezo. Hamjasikia audio wala kutazama video ila mmeshazipenda.
Hata mimi sijawaona live ila nimeshawapenda sana.
 
Jina langu linavuma kwenye mitaa
Jina langu lina hadhi ya kisupa staa

Jina langu linaongeza idadi ua maadui
Wengine nawajua wengine siwatambui.


Acha masiara wewee,nigga jay hajawahi toa nyimbo mbaya
 
Mtoa post I.Q yako ndogo sana kwako ww ngoma mbaya siyo sisi pia tambua competition hutokea au kufanyika kwa mtu mnayefanya kazi/biashara inayofanana ....sasa sijui na ww unaimba ili tukulinganishe na prof j lakini km siyo msanii shut up and drive......tuache na KIBABE KUTOKA KWA MTI MKAVU MSILOPANGANZI
 
Hebu karudie kuudikilize huo wimbo then andika tena uzi wako......anyway "skuhizi bongo sio hiphop, bongo ni singeli".......I can't blame you
 
aacha mziki ili agundue nini??

mkuu wakati unaisikiliza ile ngoma ulikuwa kwenye daladala au hukua free

hebu tulia kwa makini uisikilize vizuri
 
Atakuwa ameanza kufatilia mziki siku za karibuni tulioanza zamani Tunaelewa moto wa huyu HW MC.
 
kwakweli nami nimeona ni kawaida sana
 
Aliyekutuma useme hivo, Mwambie asafishe kiti Hw MC a. k. a mbunge anayeongoza watu na wanyama amekirudia kiti chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…