Nonpartisan
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 278
- 254
Kwanini usiache kupumua braza. Muziki wake unakupunguzia nini ww na ukoo wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una matatizoBahati mbaya yako ni kwamba wenzàko ni kioo cha jamii na ndiyo maana hata wanaccm wenzako wanawachagua kuwa wabunge. Wewe piga porojo humu kwani wewe si kitu wa si lolote kwenye jamii ya Kitanzania wakati "wao ni akina fulani". Umaskini wa roho na akili ni mbaya sana.
Mkuu sijawahi kusikiliza taarabu,,lakini pia huna utakachoniambia ktk hip hopTaarabu imeharibu vijana wengi sana,mleta mada kabla hujapost chochote shirikisha ubongo wako na unachotaka kupost, hip hop sio taarabu
Mimi sina msanii mkali,bali nina wimbo mkaliHivi kipimo cha nyimbo mbovu ni kipi? kila mtu na kile anachokipenda ndio maana ukiuliza msanii mkali bongo kila mtu atamtaje wake, hatufanani sikiliza tena [HASHTAG]#kibabe[/HASHTAG]
[emoji38][emoji38][emoji38]Kwani akiimba wewe unakua anakutoa roho ama?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu umeua walahNyimbo ni nzurisana japo sijapata kuisikiliza
Hebu karudie kuudikilize huo wimbo then andika tena uzi wako......anyway "skuhizi bongo sio hiphop, bongo ni singeli".......I can't blame youLeo nimebahatika kusikia ngoma yake mpya inayoitwa KIBABE ni ngoma mbovu kupindukia,ni ya kawaida sana ,kama sio mpya na kama sio ya msanii mkubwa.hivi ni kwa nini hawa wasanii wa zamani wasiache tu muziki? Mbona wengi wao wanatoa ngoma mbofumbofu sana? Kwa nini hawataki kuamini kwamba muziki umewatupa mkono?mbona maproducer wakongwe wameacha kurekodi baada ya kuona zama zao zimekwisha?,