Hivi Prof. Jay kwanini tu asiache muziki?

Hivi Prof. Jay kwanini tu asiache muziki?

Kweli mkuu prof jay..astaafu kwa heshima.
Huyu sio yule Jay...wa Chemsha Bongo...Bongo Dar es salaam...Ndio/sio mzee mpaka kikao cha dharura..zali la mentali.
Hana ile tone tena.
Naona koo limemkauka baada ya kufanya kampeni kali za ubunge
 
Mwambieni mfalme wenu kiti changu akifute vumbi prof jay noma sana
 
wimbo mzuri - kazi kazi unahamasisha sana.
huo show za kibabe umejaa majungu majungu
 
Back
Top Bottom