Hivi Putin hana washauri, katoa hongera, ngoma bado, jameni aibu

Hivi Putin hana washauri, katoa hongera, ngoma bado, jameni aibu

Putin anahusiana vipi na maustazi!? Mbona hoja nyingi sana bwana MK254 unahusisha Putin na maustazi? Putin anapigania dini ya uislamu au uislam una nufaika vipi na hii vita? Waislam wanaingiaje?
NB:
Nimeuliza.

Wacha kujizima data na kujifanya hauelewi kinachoendelea...
 
Hiyo aibu unaiona wewe badala ya yeye! Si umuache mpaka hapo itakapodhihirika kwetu sote kwamba ameaibika. Haina tija kutuambia ameaibika wakati yeye haoni hivyo. Hiyo aibu itakuwa na maana pale tu yeye atakapoiona badala ya wewe kumsemea kwamba ana aibu.

Ameaibika maana anatoa hongera ya kuichukua Bakhmut ilhali bado sana....nyote mnaingia aibu yake.
 
Ameaibika maana anatoa hongera ya kuichukua Bakhmut ilhali bado sana....nyote mnaingia aibu yake.
Aibu ni ile ninayoiona mwenyewe. Siyo ya kuambiwa kwamba ninayo. Sawasawa na njaa. Hiyo itakuwapo wakati mimi mwenyewe naisikia; siyo wewe kunisema kwamba nina njaa wakati mimi nakataa chakula kwamba sina njaa. Wewe unang'ang'ania tu kuniambia nina njaa!
 
Muziki wa Bakhmut bado tena sana tu, kwanza Ukraine waanza kuzingira Mashariki...hehehe huku Putin akiingizwa mkenge na Wagner na kukimbilia kutoa hongera, hii aibu sana kwa supapawa

Ukrainian forces have partly encircled the besieged eastern city of Bakhmut along the flanks and still maintain control of a private sector in the city, Deputy Defence Minister Hanna Maliar said on Sunday.

She made the remarks on the Telegram messaging app shortly after Russian President Vladimir Putin said the battle had ended with a Russian victory.

Developing

Wewe kingereza ndio shida. Partly encycled inaweza hata ikawa kitone tu au ni propaganda tu. Hawa ukraine ni kichwa ngumu. Saa hizi putin kama katoa pongezi watakua wameng'olewa bakhmut.
 
Poleni pro Magharibi watetea wizi Mataifa ya Africa, Ushoga, usagaji n.k
Binafsi Sina tena muda kujadili Bhamut maana Sasa iko chini ya Urusi na wasipoangalia ni Mwendo mbele kwa mbele.
 
Aibu ni ile ninayoiona mwenyewe. Siyo ya kuambiwa kwamba ninayo. Sawasawa na njaa. Hiyo itakuwapo wakati mimi mwenyewe naisikia; siyo wewe kunisema kwamba nina njaa wakati mimi nakataa chakula kwamba sina njaa. Wewe unang'ang'ania tu kuniambia nina njaa!

Ndio nini umeandika, utakua umekosea njia ustadh
 
Wewe kingereza ndio shida. Partly encycled inaweza hata ikawa kitone tu au ni propaganda tu. Hawa ukraine ni kichwa ngumu. Saa hizi putin kama katoa pongezi watakua wameng'olewa bakhmut.

Partly encirled ya mjini uanita kitone, hivi mbona hamuoni aibu...
 
Nakazia uzi hii ni mara ya saba wanatangaza kuikamata bakhmut.
Screenshot_20230521-210341_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom