Hivi Queen Darleen na yeye ana bifu na baba yake au ndio mtoto wa kike hasara?

Hivi Queen Darleen na yeye ana bifu na baba yake au ndio mtoto wa kike hasara?

Lakini hakukuwahi kuwa na habari kuwa Quuen hakulelewa na baba yake, ila ni Diamond tu ndio hakupata msaada wa baba yake kipindi bado mdogo, Ningemuona Queen ni wa maana kama yeye angekuwa wa kwanza kwenda kumsaidia baba yake kitu ambacho Diamond roho ingemuuma na yeye angesaidia kimya kimya, ingesaidia huyu mzee kuacha kuzunguka mitandanoni kitu ambacho kinawadhalilisha wote.p
Baada ya Mzee Abdul kumpiga mimba mamake Darleen na hatimae kuzaliwa Darleen, hapo ukawa ndio mwisho wa uhusiano wa Darleen na mamake Darleen! Ninachotaka kusema ni kwamba, hata Queen Darleen hakukulewa na babake! Na mbali na Quuen Darleen, pia ana mtoto mwingine wa kike ambae anaishi na shangazi yake, yaani dadake na Mzee Abdul!

Tatizo Mzee Abdul alikuwa na usela wa kupitiliza! Hivi humuoni tu hata jinsi anavyoongea ukalinganisha na umri wake?! Halafu nikujuze jambo lingine! Hao wote sio kwamba wanawake walikuwa wanaishi kwa Mzee Abdul bali Mzee Abdul alikuwa ndo anahamia kwa mwanamke; wakizinguana, anasepa!
 
Huyu mzee kwa kipindi kirefu amekuwa akiteseka sana kutokana na makosa yake yeye mwenyewe ambayo aliwahi kuyafanya huko nyuma, mzee amekuwa akihitaji msaada wa Diamond kila kukicha bila mafanikio kwani Diamond ni kama ameziba masikio vile.

Tukija kwa watoto wa huyu mzee sio Diamond pekee kwani ana mtoto mwingine wa kike ambaye ni Queen Darleen, Queen nayeye si haba kwani pale WCB anapata fedha tu, lakini huyu binti na yeye ni kama kasimama upande wa kaka yake kama hawamuoni baba yao

Lakini hakukuwahi kuwa na habari kuwa Quuen hakulelewa na baba yake, ila ni Diamond tu ndio hakupata msaada wa baba yake kipindi bado mdogo, Ningemuona Queen ni wa maana kama yeye angekuwa wa kwanza kwenda kumsaidia baba yake kitu ambacho Diamond roho ingemuuma na yeye angesaidia kimya kimya, ingesaidia huyu mzee kuacha kuzunguka mitandanoni kitu ambacho kinawadhalilisha wote.

Queen ndio mtu muhin na mwenye uwezo wa kumshauri kaka yake bila kujali lolote lililowahi kutokea huko nyuma, kuliko Diamond kwenda kugawa misaada kama sadaka yake, ni heri angemsaidia huyu mzee alafu angemuachia mungu akamhukumu huko mwenyewe, huyu mzee akija kufa mambo yanaweza yakabadilika. Uzii huu mtakuja kuufukua siku za usoni... Mark my words.....

Sent using Jamii Forums mobile app
aliwatelekeza watoto wacha naye wamtelekeze. Aliona uzinzi ni bora kuliko welfare ya watoto, ngoja wamtelekeze.
 
Queen Darlin Hana Hela, Anamchukiaje Baba'ake Sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ugomvi wa Queen Darleen na Mzee Abdul umetokana na tabia ya Mzee Abdul kutumia media za udaku kulalamika kwamba watoto hawamjali baba yao! Kutokana na hilo suala, Queen akampa makavu babake kwamba sio; anatumika na magazeti ya uadaku kutengeneza stori kwa ajili ya posho; kwahiyo madogo wakaamua kumfanyia makusudi!
 
Nakumbuka ile issue; hadi Mzee Abdul akaapiza kwamba siku akifa Queen Darleen asitokee kwenye msiba wake!

Kwa kauli kama hii, ikitokea mzee amevuta na hajafuta kauli yake, huyo darleen akae mbali na msiba nakumbuka kipindi cha nyuma jamaa mmoja alipata ulemavu wa kudumu baada ya kwenda kwenye mazishi ambaye marehemu alimkataza kabla hajafariki
 
Swali la kujiuliza ni inakuwaje na queen amchukie mzee wake? Inaonesha kabisa huyu mzee ndo mwenye matatizo.... baada ya wanae kufanikiwa ndo anajifanya kuwalilia... afu na kwanini alalamike kwny vyombo vya habari wakati wanae anajua kwa kuwapata? Kwanini kila siku awatangaze wanae hawamsaidii wakati anauwezo wa kwenda pale madale hata ikiwa ni trip ya mwaka mzima kila siku angekwisha samehewa.... sasa yeye kaenda mara hata 5 hazifiki keshawatangazia ubaya... unadhani kuna msaada utatolewa hapo? Hata nikiwa ndo mm sijui... yaani ulinikosea, unakuja nkiwa bado nna kinyongo na ww unataka ndani ya siku mbili niwe nshakusamehe, ukaona hiyo haiwezekanj ukaamua kunitangazia ubaya.... my friend hata ningekuwa mm huo msamaha utaupata kwenye bomba....
 
kaka hii itakuwa ni kama mtango kwani hata diamond pia atafanyiwa na mwanawe nadhani ni wakati wa kukaa na kumaliza tofauti zao kwani baba daima hakosei kwa mwana, iliyobaki ni dunia tu kuiendekeza na iko siku tutaiacha tukiwa dhalili kabisa.
Nikijaribu kuusikiliza wimbo wa Binadamu wa diamond kwenye ule mstari wa kuwa.... "salamu ziende kwa baba yangu japo alinikataa".... Hapo tu panatosha kuonesha kuwa huyu mzee alimkana mwanae... hapa tujue kutofautisha kati ya kuitelekeza familia na kumkana mtoto... kuitelekeza familia huwa inatokea endapo km maisha ni magumu na mzee unakuta bado anaipenda familia yake, lakini kumkana mtoto kuwa sio mwanao inamaanisha umekata uhusiano mazima... huu ndo ujinga alofanya huyu mzee... hastahili kabisa msamaha nionavyo mimi
 
Hii niyo Point ya msingi.
Mzee alikata mahusiano mwenyewe so akubaliane na hali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nini maana ya adhabu kama waadhibiwa wataonewa huruma?

VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
Nikijaribu kuusikiliza wimbo wa Binadamu wa diamond kwenye ule mstari wa kuwa.... "salamu ziende kwa baba yangu japo alinikataa".... Hapo tu panatosha kuonesha kuwa huyu mzee alimkana mwanae... hapa tujue kutofautisha kati ya kuitelekeza familia na kumkana mtoto... kuitelekeza familia huwa inatokea endapo km maisha ni magumu na mzee unakuta bado anaipenda familia yake, lakini kumkana mtoto kuwa sio mwanao inamaanisha umekata uhusiano mazima... huu ndo ujinga alofanya huyu mzee... hastahili kabisa msamaha nionavyo mimi
kumbuka mwanadamu ameumbiwa makosa na ndio maana Mwenyezi Mungu akasema tutubu na ni dhambi au laana kubwa kwa baba kukiri kama amemkosea mwanawe. Nikwambie kitu katika watoto kumi jua nane wana historia zinazofanana na sio diamond peke yake wako wengi sana na sio hapa Tanzania hata nchi nyengine> kusamehe ni dawa sana ni njia mojawapo ya kufunguliwa kimaisha na mungu hawezi kukusamehe kama wewe ujasamehe ifike kipindi tuache hizi drama turudi kwenye vitabu vya dini, baba hataki kumsamehe ila jina anatumia la mtu ambaye ana beef naye? kwa nini asitumie jina la ukoo wa mama yake ikajulikana kama ni mtoto wa mama? Pengine amemtelekeza ndio ila amezaliwa ndani ya ndoa, so baba badoo ana haki yake na ni mridhi pekee wa diamond kwani watotowake wote kawazaa nje ya ndoa na sheria ya dini ya kiislamu, mtoto wa nje ya n doa hana kitu kwa baba yake kwenye miradhi
 
Back
Top Bottom