Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Zitto anapong'ang'ani sheria itungwe ili Rais ashtakiwe huwa anamaanisha jambo muhimu sana.Huyu jamaa atakapotoka madarakani ni vema akashtakiwa kwa uvunjaji wa sheria.The old boy is a savage!😂😂😂😂😂😂Tena nyumbani mwake? Hayo ni matumizi mabaya ya Kodi zetu