Hivi Rais Magufuli alifanya maamuzi ya busara kwa kuwaita Wakuu wa Vyombo vya Usalama kuongelea COVID19, badala ya kuwaita Wataalamu wa Afya?

Hivi Rais Magufuli alifanya maamuzi ya busara kwa kuwaita Wakuu wa Vyombo vya Usalama kuongelea COVID19, badala ya kuwaita Wataalamu wa Afya?

Achana na huyo bwegee nchii hii inabaki nyuma Kwa watu mazwazwa kama haya ,,hapo UTAKUTA linashabikia Kwa sababu Tu ni lisukuma,,,, NGOJA SIKU NCHI IKIVAMIWA NA ALSHABABU NDO atawaita Madaktar.na Manes na watalam wengine wa afya
MICHAEL SON
Kama ulivyoeleza kuwa mtu anashabikia kwa kuwa tu ni wa "home port"

Hivi huo ndiyo uzalendo anaouita huyu Jiwe?
 
X-bar
Umetoa tathmini ya uhakika kabisa Mkuu

Ubaya huyu jamaa hajiamini na anawachukia mno mabeberu

Hivi bebebu gani alete hizo barakoa zilizopandikizwa ugonjwa wa corona?

Hiyo inaitwa ni pure inferiority complex
Anachofanya ni kujisafisha asilaumiwe kuwa "approach" yake dhidi ya janga la korona ndo imetufikisha hapa bali anatumia vyombo vya ulinzi na usalama kutafuta mtu wa kulaumiwa.

Hata hivyo kumbaini "mchawi" haitasaidia kwa sasa kwani tayari ameshachelewa. Lakini kwa kuwa tayari gonjwa linasambaa ndani kwa ndani alitakiwa aendelee ku-mobilize "jeshi" la wataalamu wa afya na wanasayansi ili kuzuia maambukizi mapya na kuhudumia wagonjwa na kutafuta tiba na si kutumia ulinzi na usalama.
 
Hapana sijaoteshwa...........

Bali nimetafakari na kuangalia mantiki ya "kuwasomba" wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, kwenda kuongelea suala la ugonjwa wa corona, wakati hilo suala ni la kitaalam, ambalo lilifaa kuwaita wataalamu wa Afya nchini
Usalama na Afya vinaenda pamoja......Kuna kitu kinaitwa Standby 3.......
 
Hivi unajua kuwa ndani ya Janga fulani usipokuwa makini na Usalama wako kama Nchi unaweza kutoa mwanya kwa Maadui?
Kwahiyo hapo maadui utapambana nao Kwa vifaru, nadhani sio kila vita solution yake ni vifaru? Je hiyo itakuwa vita ya kibiolojia au kikemikali?
 
Hapana sijaoteshwa...........

Bali nimetafakari na kuangalia mantiki ya "kuwasomba" wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, kwenda kuongelea suala la ugonjwa wa corona, wakati hilo suala ni la kitaalam, ambalo lilifaa kuwaita wataalamu wa Afya nchini
Mkuu nguvu ya Mamba iko kwenye Maji. Hiyo ndiyo nguvu yake pekee iliyobaki.
 
Lihakanga,
Rumors tu no reasearched infos hapo. Zile rumors za waafrika. Fear of unknown. Mambo ya hatari yanayoonekana hayachukuliwi hatua lakini mnataka kutujaza uongo tu hapa.
 
Nimesoma comments zote. Kuna aina mbili za wachangiaji.
1. Wateteaji haijilishi ni baya au zuri.
2. Wanaozungumza ukweli bila mlengo wowote.

Kweny issue ya Covid nadhani kuna ajenda ya siri inafanyika maksudi sijui kwa manufaa ya nani.

Kiufupi kila mtu aitetee nafsi yake.
 
Raisi alikuwa kama hakubariani na idadi ya maabukizi itolewao na wasaidizi wake aliowateua.
Pia alihoji matumizi ya dawa ilionyunyuziwa mitaani Dar-es-salaam.

Pia hapendi mitandao ya kijamii kasahau ndio alimsaidia kwenda Ikulu. Tuseme President was like an outsider of the government katika hotuba hiyo.
 
Hakuna anachoweza kukifanya JPM halafu mystery akakiunga mkono. Sio kila jambo lieleweke kwa kila mtu.
 
Hali ya usalama haijulikani?Acheni ujinga!Sasa si wangezungumza juu ya usalama,sasa unamuita CDF kwenda kumwambia juu ya kujifukiza sijui na mambo ya chlorine!!!
Shame!
CDF alifikishiwa ujumbe wake, na wengine nao wakafikishiwa ujumbe wao. Chuki zitakutes sana mkuu Tigershark.
 
CDF alifikishiwa ujumbe wake, na wengine nao wakafikishiwa ujumbe wao. Chuki zitakutes sana mkuu Tigershark.
Moyo wangu ni mweupe saa living my life to the fullest! JF sehemu yangu ya burudani tu na kutema nyongo inapobidi! Corona unaita wakuu wa vyombo vya ulinzi bila hata sekta ya afya kuwepo?

Duuuh hii nini aisee?Ndio yaleyale ya korosho kupeleka jeshi,JPM kila tatizo analiona msumari hivyo analitatua kwa nyundo!
 
Moyo wangu ni mweupe saa living my life to the fullest!JF sehemu yangu ya burudani tu na kutema nyongo inapobidi!Corona unaita wakuu wa vyombo vya ulinzi bila hata sekta ya afya kuwepo?Duuuh hii nini aisee?Ndio yaleyale ya korosho kupeleka jeshi,JPM kila tatizo analiona msumari hivyo analitatua kwa nyundo!
Kumbuka kuwa kuna mtu aliapishwa pale Chato ambaye ni wa wizara ya afya, hivyo aliwawakilisha wenzake wa wizara.

Rais anaweza kuongelea kilimo hata akiwa uwanja wa taifa, anaweza kuongelea uvuvi akiwa kazungukwa na watu wa sekta ya benki. Rais ni mamlaka kuu na ya juu kabisa, hivyo hawezi kuwa na mipaka ya kuongea jambo lolote lile, kwani kila jambo ndani ya Tanzania lipo chini ya uongozi wake.
 
Kinachonishangaza hatujui nia ya huyu jamaa ktk nchi yetu anaonekana kbsa hayuko fit kua president alaf watu kama TISS wanaangalia tu,kweli unaeza mpa uraisi hata kingwendu na Tiss wakaufyata tu.
Acha dharau kingwendu Ni bora kuliko jiwe
 
Kumbuka kuwa kuna mtu aliapishwa pale Chato ambaye ni wa wizara ya afya, hivyo aliwawakilisha wenzake wa wizara.

Rais anaweza kuongelea kilimo hata akiwa uwanja wa taifa, anaweza kuongelea uvuvi akiwa kazungukwa na watu wa sekta ya benki. Rais ni mamlaka kuu na ya juu kabisa, hivyo hawezi kuwa na mipaka ya kuongea jambo lolote lile, kwani kila jambo ndani ya Tanzania lipo chini ya uongozi wake.
Mnamuona asiyekosea,hilo ndio tatizo lenu kubwa!Ba yeye kwa kujua udhaifu wenu ndivyo anazidi kukandamiza tu kadri anavyojisikia!
 
Mnamuona asiyekosea,hilo ndio tatizo lenu kubwa!Ba yeye kwa kujua udhaifu wenu ndivyo anazidi kukandamiza tu kadri anavyojisikia!
Kukosea hakuna asiyekosea, lakini mamlaka yake ipo pale pale, udhaifu ni sifa ya binadamu, ndio maana tunapiga magoti misikitini na makanisani.
 
Back
Top Bottom