Hivi Rais Magufuli alifanya maamuzi ya busara kwa kuwaita Wakuu wa Vyombo vya Usalama kuongelea COVID19, badala ya kuwaita Wataalamu wa Afya?

Tena nyumbani mwake? Hayo ni matumizi mabaya ya Kodi zetu
Zitto anapong'ang'ani sheria itungwe ili Rais ashtakiwe huwa anamaanisha jambo muhimu sana.Huyu jamaa atakapotoka madarakani ni vema akashtakiwa kwa uvunjaji wa sheria.The old boy is a savage!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
JPM ni binadamu kama mimi na wewe lakini yapo mengi mema anayoyafanya. Buku saba hizo ni hadithi za mitaani hakuna kitu kama hicho.

Wacha tu nibakie wa mwisho kuamini kama huyo mtawala wako ana jema lolote alilowahi kututendea kwa nafasi yake tangu Oktoba 2015 hasa sisi watumishi wa umma.

Zaidi tu ya uonevu, kutishiana nyau, kujali zaidi wapambe wake, kutudhulumu maslahi yetu, kupenda kusifiwa na kutukuzwa, nk.
 
Tizi imejaa watoto wa uvccm wanaochukuana tu bila professionalsim,wangekuwepo hata wasiojulikana wasingekuwepo,hata nchi isingechezewa wapo kwa ajili ya kuwashughulikia wapinzani tu.
Lakini hao tizi wapo wangapi na sisi wenye nchi tupo wangapi? Nadhani tunapaswa kujilaumu wenyewe,yaani mtu tumuajiri wenyewe,tumlipe wenyewe harafu kumfukuza mbali pale tunapoona hameet expectations tushindwe,Basi sisi ni watu wa ajabu
 
Zitto anapong'ang'ani sheria itungwe ili Rais ashtakiwe huwa anamaanisha jambo muhimu sana.Huyu jamaa atakapotoka madarakani ni vema akashtakiwa kwa uvunjaji wa sheria.The old boy is a savage!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Harafu eti anaomba asamehewe madeni wakati hata kile kidogo kilichopo anakitapanya hovyo.Bure kabisa huyu
 
He is so incompetent
 
Lakini hao tizi wapo wangapi na sisi wenye nchi tupo wangapi? Nadhani tunapaswa kujilaumu wenyewe,yaani mtu tumuajiri wenyewe,tumlipe wenyewe harafu kumfukuza mbali pale tunapoona hameet expectations tushindwe,Basi sisi ni watu wa ajabu
Mwaka huu lile zindiko lao la kichawi lipumbazao akili za watu halijazungushwa sababu ya covid huenda watu watakuwa na akili
 
Harafu eti anaomba asamehewe madeni wakati hata kile kidogo kilichopo anakitapanya hovyo.Bure kabisa huyu
Tatizo lake alipofundishwa historia ya darasa la tatu kwamba wakoloni walitunyonya sana halafu hautafuti ukweli eti anawachukia wazungu.Aache ujinga wa kulaumu watu kwa makosa yake.

He has to stand onto his own stances!Mbishi utadhani yupo chooni alikula maperaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tabia za kisukuma hizo Nyerere aliona mbali Sana kuonya wao kwao bifu na ligi uchukua 90% ya daily life yao.
 
Mystery,
Duh...watu wengine bwana...lah...dah...anyway ngoja nisi-comment chochote..
 
Moisemusajiografii,
Nadharia za kuwachukia wazungu zilipandikizwa na waumini wa ujamaa. Mfumo wa ujamaa umekazia kwenye kulaumu tatizo kuliko ufumbuzi wa tatizo.

Wajamaa waliwaaminisha watu kupitia masomo tuliyopoteza mda wetu kuyasoma mashuleni kupitia mitaala iliyotengenezwa na watawala walioshindwa Kama sehemu ya kuwatupia lawama wengine juu ya kushindwa kwao.

Huna kila kitu ambacho hata wazungu hawana bado unawalaumu juu ya kushindwa kwako.
 
Kada zipo nyingi zaidi ya utumishi wa umma. Wewe ukilia awamu hii kuna wenye kucheka mpaka jino la mwisho likaonekana.
 
Kabla ya kile kikao kulikuwa na kelele za kutoonekana na wengine wakaenda mbali zaidi kulaumu kakimbia vita. Kuna uwezekano ile press ilikuwa na nia ya kujibu haya?
 
Ni kiumbe muoga au ukipenda muite "joga"!Anaogopa askari kuliko maelezo.Anawaongeza posho na kuwapendelea kuliko watumishi wengine.Ndiyo ujue ni jamaa joga.Inaonekana kijijini kwao wakiona polisi wanajifungia mabandani mwao.Hahahahahaaaaa!
Wafanyakazi hewa na vyeti feki ajagusa kabisa majeshini isipokuwa kwa watumishi wengine hizi si ndo dabo standard zenyewe hizi.
 
Kada zipo nyingi zaidi ya utumishi wa umma. Wewe ukilia awamu hii kuna wenye kucheka mpaka jino la mwisho likaonekana.
Ni wapambe na wanufaika walio mezani lkn wengi wako hoi. No nyongeza,no motisha,no kupanda madaraja Hadi miradi ikamilike ambayo haujulikani lini even 20 yrs.Vipi Hawa wanaostaafu leo si umewanyima haki zao za kikatiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…