Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
Ukitenda haki hawatokuwa wengiHuwezi mfurahisha kila mtu ukiwa rais. Cha muhimu simamia kile unachokiamini haswa kilichoandikwa ndani ya ilani ya uchaguzi.
The-MonkWataalamu wa afya walikua katika majukumu
Izo tangawizi na limau ziwe nyingi
MkuuThe-Monk
Unataka kuniambia kuwa hao wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama hawakuwa na majukumu mengine?
Ni watu wachache sana waliohitajika kwenye kikao hicho cha Rais, ambao ni waziri Mkuu na waziri wa Afya, kwa hiyo usitafute sababu za "ku-justify" maamuzi ya Jiwe
Maslahi ya umma ndio muhimu, yale ya wapigaji hayapaswi kukuumiza kichwa.Ukitenda haki hawatokuwa wengi
Hayo maslahi ya Umma ndiyo yapi hayo?Maslahi ya umma ndio muhimu, yale ya wapigaji hayapaswi kukuumiza kichwa.
Ukimsikiliza kila mtu wasio na shukrani baadae watakuita dhaifu.
Katika wageni waalikwa aliapishwa mmojawapo ambaye nu mtu wa afya, ujumbe wa afya unakwenda kufanyiwa kazi kupitia yeye.Hayo maslahi ya Umma ndiyo yapi hayo?
Unaweza ukaita hiyo ya kuwaita wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini kuwa ndiyo maslahi ya Umma??
Mimi naona kama angekuwa amewaita wataalamu wa Afya akawahutubia na baadaye akaruhusu maswali ya papo kwa hapo, hicho kikao ndiyo kingekuwa cha maslahi mapana ya Umma
Labda corona ingekua TZ peke yake ningeunga mkono haya uyasemayoMaadui wa taifa hutumia kila mbinu kupata upenyo kufanya wanayotaka. Usidhani kila anayehubiri corona anawaza hilo tu. Maadui wanatumia nafasi ya sisi kuwa busy na corona, wao wataingiza vyao au hata watu wao kwa malengo yao. Hata aliposema angalieni wasijeingiza vitu vya hatari atakuwa ameshanusa harufu ya jambo fulani.
Kwa maadui zetu hata sherehe zetu ni hatari kwetu. Misiba yetu ya kitaifa na ziara za viongozi na wafanyabiashara toka nje ni hatari kwetu. Kwao ni fursa.
Nakumbuka Mkapa akiwa rais kulikuwa na tukio la harusi katika familia yao. Kuna mdau alitaka kuchangia 30m. Mkapa alikataa. Ni mfano tu wa maadui zako wanavyoweza kutumia raha au shida zako kukuteka na kisha kukuangamiza.
Hakuna nchi iliyowahi jengwa kwa mawazo ya mtu mmojaMaslahi ya umma ndio muhimu, yale ya wapigaji hayapaswi kukuumiza kichwa.
Ukimsikiliza kila mtu wasio na shukrani baadae watakuita dhaifu.
Tanzania inajengwa kwa mawazo ya watu milioni 60, na kadri idadi ikiongezeka ya watu wajenzi watazidi kuongezeka.Hakuna nchi iliyowahi jengwa kwa mawazo ya mtu mmoja
Ingejengwa kwa mawazo ya watu milioni 60 isingekuwa Kama ilivo SasaTanzania inajengwa kwa mawazo ya watu milioni 60, na kadri idadi ikiongezeka ya watu wajenzi watazidi kuongezeka.
Ni utaratibu wa WHO ni lazima utaje kwa uwazi, idadi ya wanaoambukizwa, idadi ya wale waliopona na idadi ya waliokufaAlikataza wagonjwa wapya wa corona kutangazwa
Sababu za kuwa lilivyo sasa zipo za kisayansi mkuu, tatizo hakuna ukamilifu katika kila akifanyacho binadamu.Ingejengwa kwa mawazo ya watu milioni 60 isingekuwa Kama ilivo Sasa
Mbona wenzetu wanafanikisha.Tusipoweka Sheria za kuwafunga viongozi yaani wakitoka madarakani ni jela maisha wataendelea kuchezea Kodi zetu na maendeleo tutayasikia kwenye radioSababu za kuwa lilivyo sasa zipo za kisayansi mkuu, tatizo hakuna ukamilifu katika kila akifanyacho binadamu.
Sisi tunafanikisha tena sana tu, inategemea wewe binafsi mtazamo wako upo vipi.Mbona wenzetu wanafanikisha.Tusipoweka Sheria za kuwafunga viongozi yaani wakitoka madarakani ni jela maisha wataendelea kuchezea Kodi zetu na maendeleo tutayasikia kwenye radio
Tulishaandika hapa hidden facts in President magufuli's speech on 22th aprill 2020 - jamii forumsTuliona wenyewe Rais Magufuli akiwaita wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini, wengi wakitoka jijini Dar na wengine wakitokea Dodoma, umbali mrefu wa kilometa maelfu, kuongelea ugonjwa wa corona, ambao unatikisa dunia nzima hivi sasa, ikiwemo Tanzania.
Nimekuwa nikijiuliza hivi si yeye mwenyewe ndiye aliyeunda hii Tume ya kitaifa, inayoshughulikia na kuratibu masuala yote ya ugonjwa wa corona nchini, akiwemo waziri Mkuu, Kasim Majaliwa na waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, mbona sijawaona wakiwa ni miongoni ya waalikwa kwenye kikao hicho?
Hivi Mheshimiwa Rais, anadhani kuwa ugonjwa wa corona utaondoka nchini kwa vifaru vya kijeshi, au mabomu ya machozi, au bunduki "zilizokokiwa" risasi za moto, au magari ya washawasha ya IGP Sirro?
La hasha, asijidanganye, hivyo virusi haviwezi kamwe kuondoka nchini kwa nguvu za kijeshi nchini, kwa kuwa hivyo virusi vya corona ni "invicible enemy"
Kwa kuwa kama nguvu za kijeshi zingekuwa na uwezo wa kuondoa virusi hivyo, basi Taifa kama Marekani linaloongoza duniani kwa nguvu za kijeshi, lisingekuwa linapelekwa "mchakamchaka" hadi sasa hivi likiwa ndilo linaloongoza duniani kwa maambukizi mengi na vifo pia
Mimi sikuona mantiki ya kuwaita wakuu wa vyombo vya usalama wa nchini kuongelea ugonjwa wa Corona nchini, wakati akiwaacha wataalamu wa Afya,ambao hivi sasa ndiyo wako mstari wa mbele kabisa katika vita hii ya kuutokomeza ugonjwa wa Corina nchini.
Kwa kuwa tunadadavua kujua mantiki ya Mheshimiwa Rais, kuwaita wakuu hao wa vyombo vya usalama nchini kwenda kijijini kwake Chato na kwenda kuwahutubia kuhusu suala la kiafya, nawakaribisha sana wadau nanyi mtoe maoni yenu