kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Nauliza tu wandugu.
Tangu enzi ya awamu ya jk nilianzisha utaratibu binafsi kuandika tarehe rais wa jamhuri akiondoka nchini kwenda nje na tarehe akirudi. Hii iliniwezesha kuona rais kama anasafiri wapi na kama anasafiri sana na kwa faida kama ipo.
Kwa wale wanajua rais Samia kama karudi please.🙏