Hivi rais Samia amerejea nchini au bado anakongamana ughaibuni

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
10,892
Reaction score
7,780
Nauliza tu wandugu.
Tangu enzi ya awamu ya jk nilianzisha utaratibu binafsi kuandika tarehe rais wa jamhuri akiondoka nchini kwenda nje na tarehe akirudi. Hii iliniwezesha kuona rais kama anasafiri wapi na kama anasafiri sana na kwa faida kama ipo.
Kwa wale wanajua rais Samia kama karudi please.πŸ™
 
Alirudi. Hujamuona hapa akiwa na wajomba zake?
 
Halafu sasa hivi anaondoka kimya kimya na kurudi kimya kimya ili msihesabu masaa yaa angani kwa mwaka
 
Vasco da Gama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…