Kabambikiwa. Yule kilaza hawezi na haelewi kituNi jambo lisiloingia akilini kuwa Rais Samia ndiye hasa muasisi wa hizi 4R's anazoziimba kila mara mambo yanapomwendea kombo!
Kama kweli angekuwa anaziamini kutoka moyoni mwake na kuzisimamia, haya yanayoendelea hivi sasa yasingekuwepo! Ingependeza zaidi hao waliombambikia hizo 4R's warudi na kumuelimisha maana halisi yake. Vinginevyo anaonekana kituko!
Gentleman,Ni jambo lisiloingia akilini kuwa Rais Samia ndiye hasa muasisi wa hizi 4R's anazoziimba kila mara mambo yanapomwendea kombo!
Kama kweli angekuwa anaziamini kutoka moyoni mwake na kuzisimamia, haya yanayoendelea hivi sasa yasingekuwepo! Ingependeza zaidi hao waliombambikia hizo 4R's warudi na kumuelimisha maana halisi yake. Vinginevyo anaonekana kituko!
Ulaghai/udanganyifu/uigizaji; maisha yake yote.Ni jambo lisiloingia akilini kuwa Rais Samia ndiye hasa muasisi wa hizi 4R's anazoziimba kila mara mambo yanapomwendea kombo!
Kama kweli angekuwa anaziamini kutoka moyoni mwake na kuzisimamia, haya yanayoendelea hivi sasa yasingekuwepo! Ingependeza zaidi hao waliombambikia hizo 4R's warudi na kumuelimisha maana halisi yake. Vinginevyo anaonekana kituko!
Uliwahi kusikia akizizungumzia na kuzifafanua mahali popote ili wananchi waelewe anakoipeleka nchi kwa hizo 4Rs?4R kazigeuza kuwa ni taarabu bila maana yeyote.
Nilikuwa nikiziamini mpaka tulipoingia kwenye Uchafuzi wa serikali za mitaa 2024
Huyu mama yenu mwambieni 4R zake sio katiba. Apeleke hayo mambo Zanzibar wamemchomesha yeye hajui.Ni jambo lisiloingia akilini kuwa Rais Samia ndiye hasa muasisi wa hizi 4R's anazoziimba kila mara mambo yanapomwendea kombo!
Kama kweli angekuwa anaziamini kutoka moyoni mwake na kuzisimamia, haya yanayoendelea hivi sasa yasingekuwepo! Ingependeza zaidi hao waliombambikia hizo 4R's warudi na kumuelimisha maana halisi yake. Vinginevyo anaonekana kituko!
Anaonekana kama mwendawazimuNi jambo lisiloingia akilini kuwa Rais Samia ndiye hasa muasisi wa hizi 4R's anazoziimba kila mara mambo yanapomwendea kombo!
Kama kweli angekuwa anaziamini kutoka moyoni mwake na kuzisimamia, haya yanayoendelea hivi sasa yasingekuwepo! Ingependeza zaidi hao waliombambikia hizo 4R's warudi na kumuelimisha maana halisi yake. Vinginevyo anaonekana kituko!
Watu wanagawana pesa kana kwamba kesho hazitakuwepoukishindwa kuwa tajiri kwa mama, baaas! kamwe hautakua tena tajiri maishani mwako.
Unahitaji kitu gani ili uelewe kwamba 4R's zilikuwa ni delay mechanism? Kwa hali ya kawaida, kauli za watu hupimwa kwa matendo yanatofuata baada ya kauli hizo. Matendo yaliyofuata baada ya 4R's ni wizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, wapinzani kutekwa na kupotezwa, kubambikiwa kesi nk. Leo tunashughudia Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani amepewa kesi ya uhaini. Walioenda kufuatilia kesi wamepigwa, wamevunjwa miguu na kwenda kutupwa majorini. Orodha ni ndefu.Ni jambo lisiloingia akilini kuwa Rais Samia ndiye hasa muasisi wa hizi 4R's anazoziimba kila mara mambo yanapomwendea kombo!
Kama kweli angekuwa anaziamini kutoka moyoni mwake na kuzisimamia, haya yanayoendelea hivi sasa yasingekuwepo! Ingependeza zaidi hao waliombambikia hizo 4R's warudi na kumuelimisha maana halisi yake. Vinginevyo anaonekana kituko!
Yule chura kiziwi wanamuandaliaga tu vyote ye anasoma tu Kwa public Ile hotuba ya juzi si inajieleza🤣🤣🤣🤣Ni jambo lisiloingia akilini kuwa Rais Samia ndiye hasa muasisi wa hizi 4R's anazoziimba kila mara mambo yanapomwendea kombo!
Kama kweli angekuwa anaziamini kutoka moyoni mwake na kuzisimamia, haya yanayoendelea hivi sasa yasingekuwepo! Ingependeza zaidi hao waliombambikia hizo 4R's warudi na kumuelimisha maana halisi yake. Vinginevyo anaonekana kituko!
Jibu hoja anazifahamu na kuziishi au yeye ndiye anajificha nyuma yake huku akiendelea kuvunja haki za binadamu, kuiba na kutorosha mali za Tanganyika na kupata huruma za dunia kwa kutumia uke wake!Gentleman,
vibaka, matapeli na malofa wa kisiasa kamwa hawawezi kuruhusiwa kutamba kwa kujificha nyuma ya 4Rs za Dr Samia Suluhu Hassan ili kuchochea na kufanya mambo haramu kinyume na sheria kama vile kuleta fujo, uporaji, uharibifu na uvunjifu wa amani kwa wananchi 🐒
haitaruhusiwa kamwe vibwengo wa kisiasa kujificha nyuma ya 4Rs ili kuleta fujo na vurugu kwa wananchi,Jibu hoja anazifahamu na kuziishi au yeye ndiye anajificha nyuma yake huku akiendelea kuvunja haki za binadamu, kuiba na kutorosha mali za Tanganyika na kupata huruma za dunia kwa kutumia uke wake!
Huyu mama yenu mwambieni 4R zake sio katiba. Apeleke hayo mambo Zanzibar wamemchomesha yeye hajui.