Hivi Rais Samia kweli anazifahamu 4R's au amebambikiwa?

Ni jambo lisiloingia akilini kuwa Rais Samia ndiye hasa muasisi wa hizi 4R's anazoziimba kila mara mambo yanapomwendea kombo!

Kama kweli angekuwa anaziamini kutoka moyoni mwake na kuzisimamia, haya yanayoendelea hivi sasa yasingekuwepo! Ingependeza zaidi hao waliombambikia hizo 4R's warudi na kumuelimisha maana halisi yake. Vinginevyo anaonekana kituko!
Ungeyataja yanayoendelea ningekujibu ila kama ni kisutu tiini mamlaka zilizowekwa na Mungu
 
Ni jambo lisiloingia akilini kuwa Rais Samia ndiye hasa muasisi wa hizi 4R's anazoziimba kila mara mambo yanapomwendea kombo!

Kama kweli angekuwa anaziamini kutoka moyoni mwake na kuzisimamia, haya yanayoendelea hivi sasa yasingekuwepo! Ingependeza zaidi hao waliombambikia hizo 4R's warudi na kumuelimisha maana halisi yake. Vinginevyo anaonekana kituko!
Vilaza wa Samia watabisha!
 
Yaani kabisa ukiwa na akili timamu uliamini Samia angeweza kuandika ile article ya 4Rs? Ile aliandikiwa na Mukandala akaweka jina la Samia,Samia mwenyewe aliisoma gazetini kama sisi.
 
Inabidi Mukandala ajiongeze sasa kwa kumpa tuition! 🤭🤷😁
 
Back
Top Bottom