Ukwelimtupu00
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,106
- 1,790
4R's ilikuwa ni utapeli.Ni jambo lisiloingia akilini kuwa Rais Samia ndiye hasa muasisi wa hizi 4R's anazoziimba kila mara mambo yanapomwendea kombo!
Kama kweli angekuwa anaziamini kutoka moyoni mwake na kuzisimamia, haya yanayoendelea hivi sasa yasingekuwepo! Ingependeza zaidi hao waliombambikia hizo 4R's warudi na kumuelimisha maana halisi yake. Vinginevyo anaonekana kituko!
Watanganyika kwa hila ni zaidi ya nyoka,shida inaweza kuwa ni wachache wenye hila hata wanapelekea aonekane hivyo.Ila naamini kwa nguvu aliyonayo amaweza kugeuza haya yote na 4rs zikarudi kubeba maana iliyodhamiriwa.Ni jambo lisiloingia akilini kuwa Rais Samia ndiye hasa muasisi wa hizi 4R's anazoziimba kila mara mambo yanapomwendea kombo!
Kama kweli angekuwa anaziamini kutoka moyoni mwake na kuzisimamia, haya yanayoendelea hivi sasa yasingekuwepo! Ingependeza zaidi hao waliombambikia hizo 4R's warudi na kumuelimisha maana halisi yake. Vinginevyo anaonekana kituko!
Unamaanisha kaingizwa chaka?Ni jambo lisiloingia akilini kuwa Rais Samia ndiye hasa muasisi wa hizi 4R's anazoziimba kila mara mambo yanapomwendea kombo!
Kama kweli angekuwa anaziamini kutoka moyoni mwake na kuzisimamia, haya yanayoendelea hivi sasa yasingekuwepo! Ingependeza zaidi hao waliombambikia hizo 4R's warudi na kumuelimisha maana halisi yake. Vinginevyo anaonekana kituko!
Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba,akasema 4r ni kula wanakula hadi wanavimbiwa vibaka,matapeli na malofa msipotajirika kwa huyo chura kiziwi hamtakuja tena.Gentleman,
vibaka, matapeli na malofa wa kisiasa kamwa hawawezi kuruhusiwa kutamba kwa kujificha nyuma ya 4Rs za Dr Samia Suluhu Hassan ili kuchochea na kufanya mambo haramu kinyume na sheria kama vile kuleta fujo, uporaji, uharibifu na uvunjifu wa amani kwa wananchi 🐒
Samiq ni mwana demokrasia alianza vizuri na 4R, akaruhusu maandamano, akaruhusu mikutano ya vyama. Pia akafuta makesi ya kubambikiza kwa wapinzani. Akawarudishia fedha wafanyabiashara zilizonyang'anywa na Magufuli. Akaenda mbali hadi kuwarudisha wakimbizi waliokuwa Ulaya akina Lissu na Lema.Ni jambo lisiloingia akilini kuwa Rais Samia ndiye hasa muasisi wa hizi 4R's anazoziimba kila mara mambo yanapomwendea kombo!
Kama kweli angekuwa anaziamini kutoka moyoni mwake na kuzisimamia, haya yanayoendelea hivi sasa yasingekuwepo! Ingependeza zaidi hao waliombambikia hizo 4R's warudi na kumuelimisha maana halisi yake. Vinginevyo anaonekana kituko!
ni tabia ya ccm wanatunga kitu na hawakitumii kabisaNi jambo lisiloingia akilini kuwa Rais Samia ndiye hasa muasisi wa hizi 4R's anazoziimba kila mara mambo yanapomwendea kombo!
Kama kweli angekuwa anaziamini kutoka moyoni mwake na kuzisimamia, haya yanayoendelea hivi sasa yasingekuwepo! Ingependeza zaidi hao waliombambikia hizo 4R's warudi na kumuelimisha maana halisi yake. Vinginevyo anaonekana kituko!
Kinachofanyika ni usanii tu mwingine wa ccm. Tena just kwamba rais samia ni muoga sana wa uchaguzi huruNi jambo lisiloingia akilini kuwa Rais Samia ndiye hasa muasisi wa hizi 4R's anazoziimba kila mara mambo yanapomwendea kombo!
Kama kweli angekuwa anaziamini kutoka moyoni mwake na kuzisimamia, haya yanayoendelea hivi sasa yasingekuwepo! Ingependeza zaidi hao waliombambikia hizo 4R's warudi na kumuelimisha maana halisi yake. Vinginevyo anaonekana kituko!
Nasikia zamani aliwahi kufundishwa kwa miaka minne, lakini akapata zero. Sasa waliomfundisha hizi 4Rs kwa wiki kadhaa sijui walitarajia nini.Ni jambo lisiloingia akilini kuwa Rais Samia ndiye hasa muasisi wa hizi 4R's anazoziimba kila mara mambo yanapomwendea kombo!
Kama kweli angekuwa anaziamini kutoka moyoni mwake na kuzisimamia, haya yanayoendelea hivi sasa yasingekuwepo! Ingependeza zaidi hao waliombambikia hizo 4R's warudi na kumuelimisha maana halisi yake. Vinginevyo anaonekana kituko!
No reform no election.Ni jambo lisiloingia akilini kuwa Rais Samia ndiye hasa muasisi wa hizi 4R's anazoziimba kila mara mambo yanapomwendea kombo!
Kama kweli angekuwa anaziamini kutoka moyoni mwake na kuzisimamia, haya yanayoendelea hivi sasa yasingekuwepo! Ingependeza zaidi hao waliombambikia hizo 4R's warudi na kumuelimisha maana halisi yake. Vinginevyo anaonekana kituko!
Hangaya bhana 🤣 na majina yake mengi mara chura kiziwiUchaguzi Mkuu utakuwa huru kama ule wa serikali za mitaa- Hangaya
Tunahitaji Katiba Mpya!Mie ninachoshangaa ktk taifa la watu milioni 60+ sa100 aliwezaje kupenya kuwa rais kwa uwezo ule alionao?!.
Maajabu!
Hana anachojua kuhusu 4R's!Unamaanisha kaingizwa chaka?
Watu wameshalistukia jishangazi.haitaruhusiwa kamwe vibwengo wa kisiasa kujificha nyuma ya 4Rs ili kuleta fujo na vurugu kwa wananchi,
that will never happen gentleman,
ukamueleze na mwenyekiti wa chama chako bila kificho 🐒
Chura Kiziwi. Mpaka masikionyaroke damu ndio uziwi utaondoka.Gentleman,