Hivi Rais Samia kweli anazifahamu 4R's au amebambikiwa?

Ungeyataja yanayoendelea ningekujibu ila kama ni kisutu tiini mamlaka zilizowekwa na Mungu
 
Vilaza wa Samia watabisha!
 
Yaani kabisa ukiwa na akili timamu uliamini Samia angeweza kuandika ile article ya 4Rs? Ile aliandikiwa na Mukandala akaweka jina la Samia,Samia mwenyewe aliisoma gazetini kama sisi.
 
Yaani kabisa ukiwa na akili timamu uliamini Samia angeweza kuandika ile article ya 4Rs? Ile aliandikiwa na Mukandala akaweka jina la Samia,Samia mwenyewe aliisoma gazetini kama sisi.
Inabidi Mukandala ajiongeze sasa kwa kumpa tuition! 🀭🀷😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…