Eti umemrudisha Iyombe kuwa Mwenyekiti wa Mfuko wa PSSSF. Hivi kweli kabisa mmekosa watu wazuri wenye mawazo ya kuukwamua huo Mfuko. Huyu Iyombe ndiyo chanzo cha kuua huo Mfuko tangu akiwa Mwenyekiti wa Bodi ya PSPF.
Kuna wakati JPM alishaamua kumtoa lakini basi tu akaona bora amalizie muda wake. Inakuwaje tena mtu huyu unamrudisha? Kwani ana lipi jipya huyu mtu huyu!
Kwa sasa hivi yanatakiwa mawazo mapya kuhusu uendeshaji wa majukumu ya kiserikali. Wanatakiwa vijana ndiyo wawe wenyeviti wa Bodi hizi za Serikali ili waangalie Taasisi kwa mtazamo wa mbali.
Sio hilo tu - kwa sasa Bodi nyingi sana zimemaliza muda wake Zaidi hata ya miaka miwili Taasisi hazina Bodi lkn Mh. Rais ameacha tu hilo liendelee!
Hata kwenye ajira pia kuna Taasisi zinahitaji kuziaba nafasi za watendaji wao lakini kumekuwa na changamoto kubwa sana kwenye mambo ya upekuzi. Majina yanapelekwa kwa ajili ya upekuzi halafu eti majibu yanatoka baada ya miaka hata mitatu.
Kuna Taasisi ilipata taarifa ya mtu aliyefanya usaili kwao kuwa mtu aliyetakiwa kuajiriwa pale ni Fulani na badala kumbe huyo alikuwa ashafariki akiwa amesubiri zaidi ya miaka mitatu.
Mbona nafasi ambazo mnakuwa na maslahi nazo mnaziziba tu kiurahisi kabisa na tena bila hata kufanya vetting. Rais kemea hili jambo kwani linabeba upendeleo wa hali ya juu!