EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Nimekuwa nikisikia watu wakitumia neno "maji ya kunde" kumaanisha rangi ya ngozi ya mtu fulani nataka kujua hii ni rangi gani, na hayo maji ya kunde ndio kitu gani? Pia, nataka mtiririko wa rangi zote za ngozi za mwafrika. Maana kuna rangi nyingine za ngozi huwa sizielewi