Hivi rangi ya Maji ya Kunde ndio rangi gani?

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
10,576
Reaction score
16,644
Nimekuwa nikisikia watu wakitumia neno "maji ya kunde" kumaanisha rangi ya ngozi ya mtu fulani nataka kujua hii ni rangi gani, na hayo maji ya kunde ndio kitu gani? Pia, nataka mtiririko wa rangi zote za ngozi za mwafrika. Maana kuna rangi nyingine za ngozi huwa sizielewi
 
Hii hapa
FB_IMG_1605531626755.jpg
 
Nimekuwa nikisikia watu wakitumia neno "maji ya kunde" kumaanisha rangi ya ngozi ya mtu fulani nataka kujua hii ni rangi gani, na hayo maji ya kunde ndio kitu gani? Pia, nataka mtiririko wa rangi zote za ngozi za mwafrika. Maana kuna rangi nyingine za ngozi huwa sizielewi
Ndio ile kwenye magari inayoitwa multicolor
 
Nimekuwa nikisikia watu wakitumia neno "maji ya kunde" kumaanisha rangi ya ngozi ya mtu fulani nataka kujua hii ni rangi gani, na hayo maji ya kunde ndio kitu gani? Pia, nataka mtiririko wa rangi zote za ngozi za mwafrika. Maana kuna rangi nyingine za ngozi huwa sizielewi
Black...mweusi
White..mweupe
Brown..chocolate
Bright..mng'avu ... Maji ya kunde.

Zile rangi za wadada wa mjini kama rangi za upinde wa mvua zisikuchanganye mkuu..
 
Hiyo mng'avu au ni kati ya weusi na weupe
 
Nimekuwa nikisikia watu wakitumia neno "maji ya kunde" kumaanisha rangi ya ngozi ya mtu fulani nataka kujua hii ni rangi gani, na hayo maji ya kunde ndio kitu gani? Pia, nataka mtiririko wa rangi zote za ngozi za mwafrika. Maana kuna rangi nyingine za ngozi huwa sizielewi
Majani kunde bro
 
Back
Top Bottom