Anaitwa Keefe D, mjomba wake na jamaa alie muua TupacMkuu hii ID yako huyu kwa picha ni nani...?
Swali nje ya mada
Dadadek ππππ na ku pretend huwezi aiseeee.Mkuu unajua unapo sema hivyo unakua umeshanifanya mtumwa automatically ππ maana yake nitakua najifanyisha kutokuwa wa ovyo kumbe ni wa ovyoππ.
Bado yupo hai huyu .Anaitwa Keefe D, mjomba wake na jamaa alie muua Tupac
Hua nashangaa Ile unabomyeza post reply tu, tayari umeshaona likes za raraa reree na min -me .Na hapa atapita kulike
Zdfbjudsgkogddxjkj ni mbolea nzur sana ili mazao yastawi vzurnbcgs jgdsdg htdfv jy kilimo kwanza!
Utapoteararaa reree nimeanua niku follow
umeachiliwa sasa
ohooo!..πZdfbjudsgkogddxjkj ni mbolea nzur sana ili mazao yastawi vzur
Nilijua umetuonyesha zile code za imethibitishwa za mpesa kumbe ni makorokochoπZdfbjudsgkogddxjkj ni mbolea nzur sana ili mazao yastawi vzur
ipo dukan kwangu mkuu io mboleaohooo!..π
πππSi kaanza yeyeNilijua umetuonyesha zile code za imethibitishwa za mpesa kumbe ni makorokochoπ
hako kambolea kako hapana kamekolea bangi...π€£ipo dukan kwangu mkuu io mbolea
Endelea kujitafutaZamu yangu ln
amesha like teyariππ
Humu hata kama umeshinda umenuna kama Idiamini..unacheka mpaka waifu anashangaa huyu mbona alikuwa anafokafoka ..sasa anachichekesha mwenyewe..π€£π€£π€£π₯π₯π₯Ulijua anakuandaa kisaikolojia ili akuombe kipochi manyoya π
ππ₯π₯Muache mpenzi wangu raraa reree
Kwan mm uliniacha?Muache mpenzi wangu raraa reree