Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba ameona raia hamuoni jitihada zake kwahy ameamua kujiinua mwnyw mmuoneHapa umekuja na ID yako nyingine kuji promote ujuliakane.
vipi kwako haja like badoushanitisha nyie bakini msubiri kulimwa mimi nauma kona namna hiiView attachment 3018592
nbcgs jgdsdg htdfv jy kilimo kwanza!vipi kwako haja like bado
Namfahamu humu jf kama id isiyokua na makuu, mcheshi na sio mtu wa ugomvi
Kuhusu mimi kua na id nyingine hii achana nayo haitokusaidia kitu
Ndo wanavyofanya madogoKwamba ameona raia hamuoni jitihada zake kwahy ameamua kujiinua mwnyw mmuone
Katika watu ambao sio wa hovyo huku ww ni miongoni mwao..Mkuu watadai ni mimi nimejipakulia minyama😁😁 , ila apo umenipa sifa nisizo stahili , umenivisha kilemba cha okoka.
Ooh... Unajifahamu kumbe. Mnawezaje kuwa na IDs nyingi?
Anajitahidi sana. Hata hii comment atakuja ku like
🤣🤣🤣🤣🤣💥💥💥mkwepu jr alistaafu?
Mkuu unajua unapo sema hivyo unakua umeshanifanya mtumwa automatically 😁😁 maana yake nitakua najifanyisha kutokuwa wa ovyo kumbe ni wa ovyo😁😁.Katika watu ambao sio wa hovyo huku ww ni miongoni mwao..
😂😂😂😂 Sema tu kuna mda kama unajichanganyaga hivi unataka kuwa wa hovyo ila naona bado maombi yanafanya kazi
Ulijua anakuandaa kisaikolojia ili akuombe kipochi manyoya 😂Aikoooo kabla sijaijua furaha yake nilihisii huyu ananiweka kwenye target anasafwishaa mazingira my gosh kumbe 😂😂😂😂 keep at! raraa