King Rabbit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 1,145
- 4,293
Mwenyewe anakuja🏃♀️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba mimi nipo hapa hapa kwa Nyerere 😄Kwanza mnatakiwa mjue hili jina "raraa reree" linatokana na nini
Huu uliwahi kuwa ni msemo treding miaka ya 2000 na kuendelea hasa Uingereza kwa maana ya blaablaaablaaa
Huyu bingwa ni mtaalamu wa IT, na atakuwa anaishi nje ya bongo
Ametengeneza batch file scripts inaunganisha ID na mfumo wa LIKE wa JF, hivyo ni automated, unapiga LIKE bila hata yeye kuinua kidole😎
😅Watu wanakutilia shakaMwamba mimi nipo hapa hapa kwa Nyerere 😄
Ulimpoteza kabisa Rararere alijua mmeshamshtukia.Rararere unaweza ukawa upo unatype unashangaa kasha like...
😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Kweli sijamuona raraa reree muda mrefu sasa. Yuko pacha wake tu min -meUlimpoteza kabisa Rararere alijua mmeshamshtukia.
Wamempoteza.Kweli sijamuona raraa reree muda mrefu sasa. Yuko pacha wake tu min -me