Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
😂 😂 😂Kisa lake ni nini ikiwa mods ndio walioweka kitufe cha dislike
Naelewa basiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 😂 😂Kisa lake ni nini ikiwa mods ndio walioweka kitufe cha dislike
Imenikumbusha kuna mwamba alikuwa anaitwa Jose everest yeye ilikuwa kila mada lazima comment yake iwe ya kwanza.Huyu jamaa sio binadamu ni somesort of machine inayolike kila kitu humu jf iwe usiku asubuhibau machana kiufupi raraa reree ni roboti kama yunus.
Kaamka simu imeshajaa chajiAahaaa
Yeye siyo KE kweli?
Kama mimi juzi alikoment nikamwambia ndio mara yangu ya kwanza kuona comment yako akaweka emoji ya kucheka 😄Aliwahi kukoment nikashangaaa