Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?

nimebahatika kupata kitambulisho chake cha taifa kutoka sayari ya marsi. nasikia ni mpenzi wa JF
Screenshot 2024-07-26 090436.png
 
Huyu jamaa sio binadamu ni somesort of machine inayolike kila kitu humu jf iwe usiku asubuhibau machana kiufupi raraa reree ni roboti kama yunus.
Kipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki.

Allah mwenyez Mungu mwingi wa rehma ampe qaul thabeet kipenzi chetu Imam.
 
Maghayo acha kudandia uzi
 
Naweza kupata ushahidi wa wapi hao Suni wamemdhihaki imamu hussein ?

Je sunni ni akina nani mkuu ?
 
Back
Top Bottom