Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?

Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?

Attachments

  • IMG_20240707_114007.jpg
    IMG_20240707_114007.jpg
    2.7 MB · Views: 2
Kuwa off wiki ambazo walevi wenzio ndo wamebananika kazini shida sana.

Ngoja nipoteze muda kuongelea hili swala la raraa reree

Huyu ndugu yetu ana kiwanda cha likes, hebu nipe siri na mm niwe natoa likes hvo, au jamaa ni BOT?
Huyu jamaa bado kidogo nimpe block πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Likes za raaa ree Nazo ni biashara kama zingne TRA waziangalie Kwa jicho la pili
 
Back
Top Bottom