Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?

Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?

Huu ni moto wa gesi, nawajua kina Extrovert , Joseverest , Leejay49 , GENTAMYCINE , mkwepu jr na mshamba_hachekwi lakini huyu wa kuitwa raraa reree ni next level.

Ukiweka uzi ama comment yako usiku sana ukaona hakuna LIKES basi usihofu.. subiri raraa reree akiamka ata-like.

Na moto wake wa ku comment sio wa kitoto, kwa leo tu pana comments kama 40 hivi, likes ndio usiseme, ni fayaaa!!!

chukua maua yako
emoji259.png
emoji259.png
emoji259.png
 
😂😂😂 ilifika muda nikawa najiuliza,huyu jamaa ananifatilia nini?Maana karibia kila comment yangu ka-like....ila nilivyokuja kuangalia kwa makini nikagundua ni comments za watu wengi.Apo roho yangu ikatulia.Mwamba apewe maua yake
 
Back
Top Bottom