Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Jifanye ukumbuki ile comment yake πππkwanini yeyeπ
Umeona sasa huyu mtu machimbo yake tunayajua πππππOngezea na uzi wa selfika anajua kupamba huyoπ
niliona ila sijali,,ilinde furaha yakoJifanye ukumbuki ile comment yake πππ
Kumekucha πΉNilikua natamani ila ndo hvo nakhofia Evelyn Salt ππππ
Umejuaje kama ni mwanaume...?raraa reree ndiye mwanaume anayeongoza kwa kufunguliwa nyuzi
Whaooooo πππππniliona ila sijali,,ilinde furaha yako
Yaaani yaani yaani acha tu...Kumekucha πΉ
ulinde moyo wako kuliko vyote ulindavyo man ndiko zitokako chemchem za uzima π€ΌββοΈWhaooooo πππππ
Dah ndan ya miezi miwili nilikula ban tatu πWw ni expert wa ban
Yaani mi hapa hoiii mweeeeh.....ulinde moyo wako kuliko vyote ulindavyo man ndiko zitokako chemchem za uzima π€ΌββοΈ
Twenzetu π€ΌββοΈYaani mi hapa hoiii mweeeeh.....
Sijui nisemeje kwa kweli..
Natamani twende selfika kule nikakuone πππ
Yani niminyama tuu ukipita minyamatuu miinyaaaamaaa...chichi chibooongeπ€£π€£π€£π€£Hana huo muda wa kutafuta attention! Attention zinatafutwa na hao wanaofungua nyuzi tena hawajiamini na ndio maana wanatumia ids zao nyingine kumfungulia mtu uzi kwa kuogopa mapovu ya waja
ππ€£Nyie mnasema jamaa rararereee et hanaga comment..
Nendeni kwa ule uzi wa dada poa wamekamatwa...
Uwone watu wanavomtukana yule mkuu wa wilaya... Miongoni mwao ni hii jamaa ππππππππππππ
We jamaa vipiRobot π€ huyo jamaa.
Huwezi amini comment haikai dakika mbili kashalike
πππ
Yaani wanawake....!! Mungu awatunze.Muache mpenzi wangu raraa reree