Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Jifanye ukumbuki ile comment yake ๐๐๐kwanini yeye๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jifanye ukumbuki ile comment yake ๐๐๐kwanini yeye๐
Umeona sasa huyu mtu machimbo yake tunayajua ๐๐๐๐๐Ongezea na uzi wa selfika anajua kupamba huyo๐
niliona ila sijali,,ilinde furaha yakoJifanye ukumbuki ile comment yake ๐๐๐
Kumekucha ๐นNilikua natamani ila ndo hvo nakhofia Evelyn Salt ๐๐๐๐
Umejuaje kama ni mwanaume...?raraa reree ndiye mwanaume anayeongoza kwa kufunguliwa nyuzi
Whaooooo ๐๐๐๐๐niliona ila sijali,,ilinde furaha yako
Yaaani yaani yaani acha tu...Kumekucha ๐น
ulinde moyo wako kuliko vyote ulindavyo man ndiko zitokako chemchem za uzima ๐คผโโ๏ธWhaooooo ๐๐๐๐๐
Dah ndan ya miezi miwili nilikula ban tatu ๐Ww ni expert wa ban
Yaani mi hapa hoiii mweeeeh.....ulinde moyo wako kuliko vyote ulindavyo man ndiko zitokako chemchem za uzima ๐คผโโ๏ธ
Twenzetu ๐คผโโ๏ธYaani mi hapa hoiii mweeeeh.....
Sijui nisemeje kwa kweli..
Natamani twende selfika kule nikakuone ๐๐๐
Yani niminyama tuu ukipita minyamatuu miinyaaaamaaa...chichi chibooonge๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHana huo muda wa kutafuta attention! Attention zinatafutwa na hao wanaofungua nyuzi tena hawajiamini na ndio maana wanatumia ids zao nyingine kumfungulia mtu uzi kwa kuogopa mapovu ya waja
๐๐คฃNyie mnasema jamaa rararereee et hanaga comment..
Nendeni kwa ule uzi wa dada poa wamekamatwa...
Uwone watu wanavomtukana yule mkuu wa wilaya... Miongoni mwao ni hii jamaa ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
We jamaa vipiRobot ๐ค huyo jamaa.
Huwezi amini comment haikai dakika mbili kashalike
๐๐๐
Yaani wanawake....!! Mungu awatunze.Muache mpenzi wangu raraa reree